Pata majibu ya maswali yanayokuhusu
Nina swali je naweza ku edit picture kwa kutumia Html?
23-04-2023 12:15:59
Habari zenu wakubwa
Kwa application kama hizi za kujisomea zile notes zinakua uploaded kwa njia gani??
Natka nitengeneze mobile app ya kujisomea ila sijajua nianze vipi naomba msaada wenu
Language ni javascript
25-02-2023 04:29:26
Mtaalam ninashukuru sana Kwa mafunzo yenu naendelea vizur na html lakin Kun kit kimenitatiza namn ya kuweka mfano mtihani ni code gani inatumika kuweka mtihan
05-03-2023 09:49:18
kuna tofauti Kati ya website na blog 2.afu iyo app ya tabedit inatumika Ku edit code kweny Sim au hata Kama unatumia PC unaweza kutumia iyo app ???
04-05-2023 12:30:46
Hello naitaj search engine post ziwe znaonekana haraka
15-02-2023 16:37:35
Anaejua jinsi ya kutuma sms isiyo na namba ya simu kwa mfano sms ya. M pesa inavokua. Nani anajua
25-02-2023 04:28:34
Wana sema JavaScript ni moja ya lugha muhimu katika hacking je ILI uweze kuhack kwa JavaScript unatumia platform au app zipi?
25-02-2023 04:26:12
haloo
26-03-2024 06:24:29
Discor ni nini na inafanyaje kazi
13-04-2023 16:45:09
Kiongozi kuna program yenye uwezo wa kutengeneza OBB kutoka kwenye apk ?
21-05-2023 13:16:51
Je plugin ni nini
13-04-2023 16:48:14
Unaweza kufungua blogger bila ya kununua domain
13-04-2023 04:38:02
Samahani mkuu naomba msaada wa kufahamu jinsi gani ya kutengeneza direct link ya apk ambayo unaweza kuweka kwenye website pia mtu akibonyeza ianze kudownload moja kwa moja mfano mzuri kama app ya sports pesa
23-02-2023 10:43:34
Nin swali naomba msaada nafnya app ya spring boot hapa as backend ila nikipelek data zangu ktk database zinaingia ni null shida ni k2 gn
04-05-2023 11:48:49
Code za android studio nilikuwa nazihitaji za app (mobile web/blog app)
30-03-2023 06:14:50
Nimepata maumivu makali sana ya tumbo wakati wa tendo na baada ya tendo la ndoa nikapata nafasi ya kupitia makala kadhaa katika blog yako ... Naomba unisaidie ni namna gani ntaepukana na maumiv haya?
22-02-2023 04:23:35
Kaka naomba nisaidie Nilibadilisha email kwenye php admin nikaja kuirudisha inagoma inasema email tayari ipo na pale haipo hili tatizo nalitoaje
28-04-2023 04:33:44
Kwema mkuu, Naomba Namna ya kufahamu au kujuah vitu baada ya kutengeneza blog. Kama ku edit katika blog na copy matangazo kwenye Facebook, YouTube, Instagram hadi kwenye blogs
30-01-2023 04:14:33
Hellow habari naomba nisaidie kuslove tatizo hili kwenye MacBook laptop nilitaka kuadd wifi nilienda kwenye icon ya wifi then naenda kwenye network preference Niki click tu inaniletea preference error "there was an error in network preference" Sasa nimejaribu kurestart laptop lakini bado hiyo error haijatoka naomba kusaidiwa .
17-03-2023 05:33:37
hellow najaribu kuinstall trebedit kwa simu inakataa sijajua shida nini,, inaonesha tu pending mda wote haioneshi kuanza installing
20-04-2023 05:27:45
Jamani nisaadieni hv vitu nataka nijue kuweka sehemu ya kuweza kupost file kwa ajili ya web user na iwe na sehemu ya comment na share
MSAADA JAMAN?
25-02-2023 04:30:47
Ety mbn Kila nikiwek code ya kuwek picha inakataa shida nn
25-02-2023 19:21:18
Assallaam Alaykum he ? Ukitaka kifungua bolg yako kinatakiwa Nini na Nini ili nikamilishe kufungua blog yangu mwenyewe
28-01-2023 02:45:11
Je nitapataje backlink ylkwenye website yangu?
26-02-2023 08:50:59