SWALI

Discor ni nini na inafanyaje kazi

Swali No. 1042
JIBU

Kwenye TEHAMA hii ni App ambayo inatumika kwenye desktop, web na mobile. Hitumiwa sana na watu wa kucheza gemu kwa ajili ya kuwasiliana, kutumia video call, voice call na text.

 

Hata hivyo inaweza pia kutumiwa na wasiokuwa watu wa gemu. Yenyewe ipo specific na ni tofauti na magruo ya fb.

 

Unaweza kulipia ama kutumia free.

 

Kazi yake kubwa hasa ni chufanya communication kati ya mtu na mtu ama server na server.

 

Inavyotumika

 Baada ya kujisajili utaweza ku join channel na magrup ambapo umealikwa ama unaweza kutengeneza yako. 

 

Wanayo app yao playstore kwa jina la discord, ama unaweza kutumia website yao discord.comKumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 13-04-2023-16:45:09 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.

Nicheki Nicheki WhatsApp


MASWALI YANAYOFANANA