Swali #460
23-02-2023 10:43:34
<p>Samahani mkuu naomba msaada wa kufahamu jinsi gani ya kutengeneza direct link ya apk ambayo unaweza kuweka kwenye website pia mtu akibonyeza ianze kudownload moja kwa moja mfano mzuri kama app ya sports pesa</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 460