SWALI LETU

Pata jibu kamili kuhusu swali lako

Swali #500 25-02-2023 04:26:12

<p>Wana sema JavaScript ni moja ya lugha muhimu katika hacking je &nbsp;ILI uweze kuhack kwa JavaScript &nbsp;unatumia platform au app zipi?</p>

JIBU

Soma Javascript frame work zake kwanza. Soma node.js,  react.js,  angular.js,  soma Javascript technique kama ajax,  pia soma na xml na json .Hizi hufanya kazi kwenye javascript program

MASWALI YANAYOFANANA