Swali #502
25-02-2023 04:29:26
<p>Habari zenu wakubwa </p>
<p>Kwa application kama hizi za kujisomea zile notes zinakua uploaded kwa njia gani??</p>
<p>Natka nitengeneze mobile app ya kujisomea ila sijajua nianze vipi naomba msaada wenu </p>
<p>Language ni javascript</p>
Samahani
Jibu la swali hili limehifadhiwa. Tafadhali cheki WhatsApp upate majibu ya swali hili.
Kumbuka kunitajia namba ya swali ambayo ni 502