Pata jibu kamili kuhusu swali lako
Je Quran ina sura ngapo?
Quran ina sura 114. Sura ya kwanz ani surat al fatiha na ya mwisho ni surat an nas. Ila ikumbukwe kuwa mpangilio huu sio kwa mujiu wa zilivyoteremshwa.
Swali hili limeulizwa na Muulizaji kutoka WhatsApp Chat yetu. Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Mjane akiacha Mali halafu akawa Ameacha watoto wa Tano mmoja mwislam wengine wakristo na mjane alikuwa mwislam, swali langu Hawa watoto ambao ni wakristo Wana haki ya kumrithi mama Yao? Naomba unisaidie majibu pamoja na kifungu kitakacho patikana juu ya jibu lako. Asante
je katika uislam maulid zinaruhisiwa?
Asalaam aleykum. Ni matumaini yangu ya kwamba m buheri wa afya. Nilikua nataka kufahamu utaratibu wa kutoa talaka kwa mke ambae bado hujamaliza kulipa mahari yake.
Nimeona darsa kidogo juu ya suala la talaka.swali langu ni je??..kama umempa talaka moja mkeo bila ya mashahidi waadilifu.je kuna tatizo katika uhalali wake??
Kuitikia salamu ni faradh ain au kifaya?
Naomba kufahamu kunabaadhi y waumini wanaacha swala y faradh wanaswali tarawehe. Je? Hii imekaaje shekh nifafanue