SWALI:
Ni nini kinachosababisha upungufu wa damu?
Swali No. 1308
JIBUUpungufu wa damu husababishwa na uhaba wa madini ya chuma, vitamini B12, au upotezaji wa damu nyingi mwilini.
Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 24-01-2023-08:29:02 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nicheki Nicheki WhatsApp