SWALI:
Saratani ya matiti inaweza kuzuiwa?
Swali No. 1306
JIBUHakuna njia ya uhakika ya kuzuia saratani ya matiti, lakini uchunguzi wa mara kwa mara na mabadiliko ya mtindo wa maisha yanaweza kusaidia.
Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 24-01-2023-08:29:00 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nicheki Nicheki WhatsApp