SWALI:
nini husababisha maumivu ya kichwa mara kwa mara
Swali No. 1312
JIBU
msongo wa mawazo
uti
upungufu wa damu
upungufu wa maji
kutopata muda wa kutosha kulala
Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 16-11-2024-17:02:08 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nicheki Nicheki WhatsApp