SWALI:
Chanjo ya HPV inalinda dhidi ya nini?
Swali No. 1304
JIBUChanjo ya HPV inalinda dhidi ya aina fulani za saratani ya shingo ya kizazi na saratani nyingine zinazosababishwa na virusi vya HPV.
Kumbukumbu
Swali hili limeulizwa na Muulizaji Kutoka WhatsApp Chat yetu tarehe 24-01-2023-08:28:55 . Jina la muulizaji limehifadhiwa.
Nicheki Nicheki WhatsApp