Posti hii inazungumzia kuhusiana na Dalili pamoja na mambo yanayosababisha nguvu za kiume kupungua kwa Wanaume
Dalili
Moja kwa moja Kuna Dalili zinazoonesha kuwa unatatizo la upungufu wa nguvu za kiume na Dalili hizo huweza kuonekana wakati unapofanya tendo la ndoa au muda wa kujamiina.
1.kuhisi maumivu wakati wa tendo la ndoa au baada ya kumaliza kujamiina. Hii Ni Dalili ambayo unaweza kuona na kuifahamj mapema wakati utakapoona umefanya tendo la ndoa na kuhisi maumivu.
2.kuwahi kumaliza tendo kwasababu nguvu za kiume zinakuwa zimelegea hivyo hushindwa kistahimili kukaa mda mrefu na kuwahi kutoka.
3.kushindwa kurudia tendo Mara ya pili; ukimaliza kutoa tendo nguvu zinaisha na kulegea kabisa hivyo kushindwa kurudia tendo Hilo na pia uume unasinyaa.
4.uume kusimama kwa ulegevu au kushindwa kusimama . Kutokana na nguvu kupungua kwasababu nguvu za kiume zikiwa kidogo unashindwa ata kusimamisha uume .
5.kuchoka Sana baada ya manii na hata kukinai tendo kutokana na nguvu za kiume kutokuwepo za kutosha. Na nguvu za kiume zikiwa pungufu lazima utakinai tendo .
6.mwili kuuma na kukosa pumzi wakati wa kufanya tendo.kwa sababu nguvu za kiume zipo chache au hazipo kabisa.
7.uume kusinyaa Ndani ya uke. Mara baada ya kishiriki tendo la ndoa na kupata maumivu au kukinai tendo uume unaweza kusimama Ndani ya uuke kwasababu ya kuchoka .
8.kutoa manii kabla ya kuanza tendo la ndoa. Pia nguvu za kiume zikipungua mwanaume huanza kutoa manii Aya kabla hajaanza kishiriki au kufanya tendo.
Mambo ya hatari
Yafuatayo Ni Mambo ya hatari yanayosababisha nguvu za kiume kupungua Ni pamoja na;
1.ugonjwa wa kisukari; Ugonjwa huu Ni hatari endapo usipozi gatia matibabu lakin pia Ugonjwa huu unaweza kumfanya mwanaume kupungua kwa nguvu zake za kiume.
2.Uzito mkubwa kupita kiasi; watu hupuuzia uzito lakini uzito Ni Ugonjwa ambao unaweza kukusababishia hatari nyingi za mwili na pia hupunguza nguvu za kiume.
3.Tabia ya kuangalia filamu au video za ngono (sex) hii pia Ni hatari kubwa ambayo humpelekea mwanaume kupoyeza au kupunguza nguvu za kiume.
4.tatizo la presha pia Ugonjwa huu husababishwa nguvu za kiume kupungua.
5.kujicchua wakati ukiwa kijana na hata ukubwani; kitendo Hilo Cha kujichua Ni kibaya Sana na hupelekea madhara ya maumivu ya mgongo pamoja na kiuno na pia kusababisha nguvu za kiume kupungua.
6.kujisaidi Damu na maumivu makali wakati wa kwenda haha kubwa (bawasili) Ugonjwa huu wa kujisaidia Damu nao Ni chanzo Cha kupunguza nguvu za kiume.
Mwisho; ukiona Dalili Kama hizo zinajitokeza kwako Ni vuema kujua zaidi afya yako na pia Ni vizuri kuepuka kuangalia filamu au video za ngono, kuacha kujichua hasa kwa vijana wanakuwa, na mambo mengine mengi ambayo unajua kwamba yanaweza kukusababishia wewe kupungua kwa nguvu za kiume.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Posti hii inahusu zaidi madhara ambayo mtu anaweza kupata ikiwa mwili utaeweza kutengeneza progesterone ya kutosha.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sifa ambazo mtoto mchanga anapaswa kuwa Nazo,ni sifa ambazo lazima zionekane kwa mtoto mchanga pale anapozaliwa na zikikosa ni lazima kuja kuwa mtoto ana matatizo mbalimbali kwa hiyo zifuatazo ni sifa za mtoto mchanga kama ifuatavy
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi huduma ambazo wajawazito wanaweza kuzipata wakiwa na Dalli au tayari wana kifafa cha mimba.
Soma Zaidi...Post hii itakujulishs kwa namna gani mwanaune anaweza kupata fangasi kwenye uume wake
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sababu za kutoka kwa mimba na dalili zake
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi kuhusu kwa mimba kutoka kabla ya mda wake,ni kitendo ambacho mimba utoka kabla ya wiki ishilini na na nane.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna unavyoweza kumtambua mtoto mwenye Ugonjwa wa Nimonia na tiba anayopaswa kupata mtoto mwenye Nimonia
Soma Zaidi...Makala hii itakwenda kukufundisha dalili za kujifunguwa, hatuwa za kujifunguwa na kuzalisha, pia utajifunza mabo muhimu kabla na wakatii wa kujifungua.
Soma Zaidi...Tendo la ndoa wakati wa siku za hedhi ni halia mbayo jamii nying zinakataza. Katika vitabu vya dini pia haviruhusu, hata ki saikolojia utaona kuwa sio jambo jema. Hata hivyo hapa ninakuletea madhara yake kiafya
Soma Zaidi...