Madhara ya fangasi ukeni
Maambukizi ya fangasi katika sehemu za Siri za mwanamke husababishwa na fangasi wanaoitwa CANDIDA ALBICANS pia maambukizi haya hujulikana kama YEAST INFECTION. Pia hupatikana katika midomo, mpira wa kupitisha chakula,kibofu Cha mkojo ,uume na uke.
Dalili za fangasi ukeni
-kupata maumivu wakati wa tendo la ndoa
-kutokwa na uchafu wa rangi myeupe za kijivu unaweza kuwa mweupe mwepesi au majimaji
-kupata maumivu wakati wa kukojoa
-kupata vidonda na michubuko sehemu za Siri
-kuvimba na kuwa mwekundu katika mashavu ya ukeni( labia minora)
Madhara ya fangasi ukeni
Fangasi isipopata Tina hike mathara mengi Kam vile cancer. Pia wakati wa hedhi dalili hizi huwa mbya.
Jinsi ya kujikinga na fangasi ukeni
-epuka kuvaa nguo za ndani ( chupi)mbichi
-kula mlo wenye virutubisho vyote
-osha sehemu za Siri kwa maji Safi na salama
-epuka kutumia sabuni zenye kemikali mfano detto
-epuka matumizi ya vifaa vya kupanga uzazi
Ushauri: ukiona dalili kama hizi unashauriwa kuwahi katika kituo Cha afya au kumuona dactar kwa ajili ya matibabu na ushauri zaidi.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉2 Dua za Mitume na Manabii 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 web hosting 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 kitabu cha Simulizi
Post zinazofanana:
Fahamu Faida za Uzazi wa mpango
Posti hii inazungumzia kuhusiana na Faida za Uzazi wa mpango. Uzazi wa mpango ni huduma ambazo hutoa chaguo kwa familia kuwa na idadi ya watoto wanaotaka katika muda maalum, wanahisi na mbinu iliyoamuliwa.
Soma Zaidi...Maumivu ya Uke na Uume baada ya tendo la ndoa na wakati wa tendo la ndoa
Utajifunza sababu za maumivu ya uume na uke wakati wa tendo la ndoa na baada ya tendo la ndoa na matibabu yake.
Soma Zaidi...Watu ambao hawapaswi kutumia njia za uzazi wa mpango
Post hii inahusu zaidi watu ambao hawapaswi kutumia njia za uzazi wa mpango, Ni watu ambao Wana matatizo mbalimbali endapo wakitumia wanaoweza kuleta madhara mbalimbali.
Soma Zaidi...Utaratibu wa chakula kwa Mama mjamzito.
Post huu inahusu zaidi utaratibu wa chakula kwa Mama mjamzito, ni chakula anachopaswa kutumia na ambavyo hapaswi kutumia kwa Mama mjamzito mzito, kwa sababu Mama mjamzito anapaswa kuwa makini katika matumizi ya chakula ili kuweza kuongeza vitu muhimu mwil
Soma Zaidi...Mambo yanayopelekea ugumba.
Post huu inahusu zaidi mambo yanayopelekea ugumba kwa wanaume, ni mambo ambayo uchangia au upelekea mwanaume kukosa uzazi.
Soma Zaidi...