Unaweza kupitiliza siku zako za hedhi kwa sababu nyingi. Post hii itakueleza ni kwa nini umechelewa kupata siku zako.
Hizi ni baadhi tu ya sababu za kuchelewa kupata siku zako
1.Mimba
2. Stress
3. Vyakula
4. Hali ya hewa
5. Shughuli
6. Mabadiliko ya homoni
7. Maradhi
Mimba inaweza kuwa ni sababu ya kwanza ambayo watu huwa wanaifikiria. Hata hivyo mara nyingi mimba haiwi ni sababu ya kukosa hedhi.
Msongo wa mawazo au stress, inaweza kuwa ni moja ya sababu za msingi sana za kukosa hedhi. Msongo wa mawazo unaweza pia kusababisha ugonjwa.
Vyakula mara nyingi huwa ni chanda cha kukosa hedhi. Angalia kama umebadili utaratibu wa kula. Huwenda vyakula ndio vilipelekea hasa.
Matumizi ya dawa na baadhi ya njia za kudhibiti uzazi mara nyingi huchangia kukosa hedhi. Dawa za uzazi ambazo ni za homoni zinaweza kukukoseshea hedhi.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inakwenda kukutania madhara ya kuoiga punyeto kwa afya yako.
Soma Zaidi...Hivi unadhani kuharisha ni katika dalili za mimba, vipi kuhusu kutopata choo pia inaweza kuwa ni ujauzito?
Soma Zaidi...Makala hii inakwenda kukueleza kuhusu siku za kupata mimba na dalili za siku hizo.
Soma Zaidi...Tofauti na mambo matano yaliyotajwa hapo juu kuwa yanapelekea ujauzito kutoka, kuna mambo mengine ambayo yanaweza kuuweka ujauzito kuwa hatarini.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi madhara ya kutoka kwa mimba, kwa kawaida tunafahamu kwamba mimba ikitungwa na mwili mzima huwa na wajibu wa kutunza kilichotungwa kwa hiyo ikitokea mimba ikatoka usababisha madhara yafuatayo.
Soma Zaidi...Kunyonyesha ni moja katika njia za asili za kuzuia upatikanaji wa miba nyingine. Hata hivyo hii haimaanishi kuwa huwezi kupata mimba ukiwa unavyonyesha.
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunza jinsi ambavyo utaweza kujiepusha na maradhi ya ini
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukuletea njia za kutatua tatizo la nguvu za kiume
Soma Zaidi...Nimesoma makala yenu, sasa nina swaliJe kitunguu saumu kina madhara kwa Mgonjwa wa figo?
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na sababu zinazosababisha kukosa hamu ya kushiriki tendo la ndoa.
Soma Zaidi...