Mafunzo ya HTML level 1 somo la 8 (HTML basic level FOR BEGINNERS)
Katika somo hili la 8 mafunzo ya html level 8 utajifunza jinsi ya kuhost project ya html na kuwa live, watu wakaipitia na kusoma maudhui yake.
SOMO LA NANE:
JINSI YA KUHOST PROJECT YAKO YA TOVUTI.
Baada ya kumaliza kutengeneza project yako saa utahitaji iwe live, iweze kuonekana mtandaoni, watu waweze kuipitia, kusoma na kuhabnarika. Huku ndiko kunaitwa kuhost. Kwa faili la HTML unaweza kulihost bure. Yapo makampuni mengi ambayo utaweza kuhost html bure kabisa kwa mfano:-
1.Infinityfree
2.00webhosting
3.Digitalocean
4.Google cloud
5.Firebase
Katika post hii nitakupa hatuwa kwa hatuwa kuhost project yako ya html. Tafadhali angalia video hii kuona jinsi utakavyofanya hatuwa kwa hatuwa. https://www.youtube.com/watch?v=JyHtRDK7QUI Hapa utajifunza kuhost kwa kutumia infinityfree. Katika masomo yetu mengine tutajifunza kuhost kwa kutumia mitandao mingine iliyotajwa hapo juu.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 web hosting 👉3 Dua za Mitume na Manabii 👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Mafunzo ya database mySQl database somo la 11
huu ni muendelezo wa mafunzo ya Database klwa kutumia MySQL na hili ni somo la 11. katika somo hili tutaendelea kujifunza mpangilio wa muonekano wa data kwenye database.
Soma Zaidi...Mafunzo ya DATABASE - MySQL database somo la 5
Huu ni muendelezo wa mafunzo ya DATABASE kwa kutumia software ya MySQL na hili ni somo la tano. katika somo hili utajifunza type of data yaani aina ya taarifa ambazo unaweza kuzihifadhi kwenye database yako.
Soma Zaidi...Mafunzo ya database MySQL somo la 3
Huu ni mwendelezo wa mafunzo ya database na jinsi ya kutengeneza bloga na website na hili ni somo la tatu. hapa utajifunza jinsiya kutengeneza database yako kwa mara ya kwanza.
Soma Zaidi...Php level 1 somo la saba (7)
Hili ni somo la saba, mafunzo ya php level 1. Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuandika function yako mwenyewe.
Soma Zaidi...Mafunzo ya HTML level 1 somo la 5 (HTML basic level FOR BEGINNERS)
katika somo hili la tano kwenye mafunzo ya HTML level 1 utajifunza jinsi ya 1.Kuweka picha 2.Kuweka rangi 3.Kuweka linki 4.Kupangilia position na alignment ya maandishi 5.Kuongeza ukubwa wa herufi 6.Kukoment
Soma Zaidi...PHP level 1 somo la sita (6)
Katika somo hili la php level 1 somo la 6 utajifunza namna ya kutumia tarehe yaani function date() kwenye PHP
Soma Zaidi...