Utangulizi wa Android App Development
Haya ni mafunzo ya muda mfupi katika kujifunza hasa ujuzi wa kutengeneza Android App hata kama haujui kitu kuhusiana na Android Development
Android development
Hii ni taaluma ambayo kujifunza kwa ugumu na urahisi unatokana na mapokeo ya mtu mmoja mmoja , kwa binafsi yangu mimi ni developer ambaye nimejifundish mambo mengi mwenyewe bila kumsumbua mtu kwa namna yoyote ile natamani na wewe bila kujali ikiwa tu unatamani kujifunza taaruma hii basi ufike mbali hata kunishinda mimi n anna jiskia faraja sana kukufundisha kidogo nlichonacho hadi leo hii .
Baada ya kumaliza mafunzo haya utakuwa na uwezo wa kutengeneza android application za viwango tofautitofauti kwa kutumia java programming language lugha maarufu yenye nguvu katika utengenezaji wa android systems mbalimbali bila kufahamu kwa undani kabisa kama ulivyo wahi kuskia sehemu au platform mbalimbali kwamba katika kujifunza lugha yoyote ya programming kuna ugumu wa kiasi chake kwani kuna hitaji mda wa kutosha na mazingatio sana na huwa ni afadhali ya kujifunza unaweza hata kukalili kipengele flani Maisha yakaenda ila ugumu ambao mimi nauona kama ugumu katika safari ya kujifunza programming language yoyote ile ni pale linapo kuja suala la kubadilisha mafunzo kuwa projects harisi ambayo inawezaa kueleweka machoni pa wat una ilkaonekana msaada katika mambo mbalimbali ya kidunia.
Ndio maana mafundisho yangu hasa yatalenga kurahisisha ugumu huu uliopo katika kujifunza android development husani kwa kutumia lugha ya java ambapo nitakuwa niki fafanua projects mbalimbali ndani yakitabu na kuzitolea maelezo ambayo hata kama mtu atakaa peke yake basi anaweza kufanya yale aliyo jifunza kutoka kwenye mafundisho haya special.
Maana kwa namna hii mimi niliweza kutengeneza android app bila kuwa na mwalimu najua hadi unasoma haya mafunzo umevutiwa na taaluma hii .
Awali ya yote katika hitimisho la utangulizi wa mafunzo haya nataka nikumbushe Ushahidi ulionao hadi sasa kwamba kuliwepo windows ya kwanza ikaja 7 8 10 na hadi sasa 11 haya ni maboresho amayo yamekuwa yakijitokeza mara kwa mara katika kampuni ya mambo ya technology ya Microsoft inc.
Hivyo hivyo ndio unatakiwa kuelewa na kuweka akilini kwamba hautakiwi kukalili mambo ni kujitahid tu kuelewa namna mbalimbali nitakazo kufundisha za kutafuta taarifa mpya kuhusiana na development katika platform niatakazo kuelekeza wakati tukiendelea na mafunzo mbeleni.
HATUA MUHIMU
HATUA YA KWANZA
MAHITAJI
Unatakiwa kuwa na computer aina yoyote ile
Unatakiwa kudownload na kufanya installation ya android studio katika computer yako
Fungua project yako ya kwanza
Computer
Ni vizuri ukawa na compuiterr ambayo itakuwa na speed kidogo at least iwe na 4GB RAM na iwe na processor nzuri pia
Download an install
Kama unavo doiwnload program zako zingine hivyo hivyo ndio utakiwa kudownload program hii ya Android Studio utaenda katika kivinjalli chako utaandika maneno haya ‘Andoroid Studio Download” uta download program yako ambayo ina Zaidi ya Mb 900+ size yake.
Installation ya Android Studio ipo complicated kidogo lakini huwa ni kulingana na mashine ya mtu hapa naweza sema ili ufanikiwe installation unatakiwa kuweka bando la kutosha ili uweze kufanikisha mchakato wa installation ya android SDK katika computer yako.
ZINGATIA: Katika kufanya installation utakutana na changamoto nyingi sana zitakazo kukatisha tamaa kwa hiyo ushauri wangu hakikisha unapofanya installation unakuwa na msimamizi kama wewe ni beginner ambaye ni mzoefu kidogo kuhusiana na Android SDK kwa kukua msimamizi utakusaidia kufanya shughuli hii kwa mda mfupi Zaidi tofauti na ukiwa peke yako
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Madrasa kiganjani 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 Simulizi za Hadithi Audio 👉4 web hosting 👉5 Bongolite - Game zone - Play free game 👉6 Kitau cha Fiqh
Post zinazofanana:
Mafunzo ya DATABASE - MySQL database somo la 8
Huuu ni muendeleo wa mafunzo ya database kwa lugha ya kiswahili, na hili ni somo la nane. Katika somo hli utajifunza namna ya kuweka taarifa kwenye database, kuzfuta na kuziediti yaani kuzifanyia marekebisho.
Soma Zaidi...Mafunzo ya php level 1 somo la kwanza (1)
Karibu kwenye mafunzo ya PHP level 1 na hili ni somo la kwanza. Hapa utajifunza maana ya php, inavyofanya kazi pamoja na historia yake kwa ufupi
Soma Zaidi...Mafunzo ya html level 2 (html full course for beginners)
haya ni mafunzo ya HTML level 2 kwa wenye kuanza. Mafunzo haya ni muendelezo wa level 1 html. Katika course hii utajifunza mengi zaidi lu;iko level1 pia tutazidi kuboresha project yetu.
Soma Zaidi...PHP level 1 somo la tano (5)
Haya ni mafunzo ya php na hili ni somo la tano. Katika somovhili utajifunza namna ya kutengeneza functions.
Soma Zaidi...Mafunzo ya HTML Level 2 somo la 4 (HTML FULL COURSE FOR BEGINNERS LESSON 4)
Karibu tena katika somo la nne la mafunzo ya HTML level2 html full course for beginners. Katika somo hili utajifunza kuhusu attributes na namna zinavyofanya kazi
Soma Zaidi...Mafunzo ya DATABASE - MySQL database somo la 5
Huu ni muendelezo wa mafunzo ya DATABASE kwa kutumia software ya MySQL na hili ni somo la tano. katika somo hili utajifunza type of data yaani aina ya taarifa ambazo unaweza kuzihifadhi kwenye database yako.
Soma Zaidi...