Posti hii inahusu zaidi madhara ya fangasi ukeni, madhara mbalimbali yanayoweza kutokea iwapo mtu hakutibiwa fangasi mapema.
Madhara ya fangasi ukeni
1.Mimba kuharibika
Hii utokea pale ambapo maambukizi yameenea sehemu mbalimbali za via vya uzazi na. Kuharibu sahemu ambapo mtoto anajishiza na atimaye mimba ukosa sehemu ya kujishikisha na hatimaye kuaribika kwa mimba kabla ya wakati wake
2.fangasi zisipotibiwa usababisha Kansa ya mlango wa kizazi, hali hii utokea pale ambapo maambukizi kwenye uke yanazidi kuwa makubwa na hatimaye kuaribu sehemu mbalimbali za via vya uzazi na kumpelekea kupata Kansa ya mlango wa kizazi au Kansa kwenye via vya uzazi.
3. Kupata Homa na kizunguzungu.
Hali hii utokea kwa sababu ya maambukizi kuenea sehemu mbalimbali za mwili na kusababisha Homa na kizunguzungu kwa mtu Mwenye maambukizi,kwa sababu ya kubadilika kwa hali ya kawaida ya mwili na kuaribu kwa sehemu mbalimbali za mwili na na Maambukizi usababisha kubadilika kwa joto la mwili pia.
4.Kuongezeka kwa miwasho.
Madhara ya fangasi ukeni usababisha kuwepo kwa miwasho kwenye sehemu za Siri, ambapo mwathirika ujikuna kila wakati na pengine kusababisha hali ya kutokuwa na amani, hali hii usababisha kuenea kwa ugonjwa wa fangasi ukeni kwa sababu mwenye maambukizi kama anajikuna na anaagusa vitu vya wengine anaweza kusambaza maambukizi kwa waliomzunguka.
5.Maumivu makali wakati wa kukojoa
Hali hii utokea kwa mtu Mwenye tatizo la fangasi ukeni, pale ambapo maambukizi yameenea sehemu mbalimbali za via vya uzazi, usababisha michubuko kwa hiyo mtu akikojoa na mkojo ukagusa sehemu ya michubuko maumivu makali utokea na kusababisha kukosa raha na amani kwa mgonjwa.
6, kwa hiyo tunaona kuwa madhara ya fangasi ukeni ni makubwa na usababisha madhara makubwa kwa wagonjwa na pengine ugumba kwa hiyo tunapaswa kutibu ugonjwa huu kwa maana unatibika na dawa hospitalin zipo na zinatibu ugonjwa huu tusiwatenge wale waliopata na ugonjwa huu.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi dalili za mimba kutoka, hizi ni dalili ambazo ujitokeza kwa mimba zote ambazo utaka kutoka kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maumivu ya uume baada ya tendo la ndoa
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu changamoto za ujauzito na dalili zake endelevu
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi maumivu wakati wa hedhi, haya ni maumivu ambayo utokea wakati wa hedhi kwa wanawake walio wengi, wengine huwa hawayapati kabisa na wengine hutapata na kwa kiwango kikubwa kutegemea na matatizo mbalimbali kama tutakavyoona.
Soma Zaidi...Post hii inahusu njia safi za kumsafisha Mama ambaye ametoa mimba au mtoto amefia tumboni.
Soma Zaidi...Zipo siku maalumu ambazo mwanamke hupata mimba. Siku hizi huzoeleka kwa jina la siku hatari. Je ungependa kufahamu mengi kuhusu siku hatari, endelea na makala hii.
Soma Zaidi...