Maambukizi ya magonjwa ya ngono

Posti hii inahusu athari za maambukizi ya magonjwa ya ngono' ambapo magonjwa ya ngono isipokuwa UKIMWI' yanatibika .mgonjwa anashauriwa kuwahi hospitali au kituo chochote cha afya kupata matibabu mara anapoona dalili za magonjwa haya.

    ZIFUATAZO NI ATHARI ZA MAAMBUKIZI YA MAGONJWA YA NGONO.                                 1. kutokana na mwanzo tulivyoeleza kwamba kuna athari zinazopelekea maambukizi ya magonjwa ya ngono katika jamii kuna athari ya kuziba kwa njia ya mkojo kwa mwanaume,na pia kuziba kwa mirija ya kupitishia mayai hivyo mimba kutunga nje ya mimba athari hizo usababisha ugonjwa unaitwa ,kisonono,

 

2.pia kuna huharibifu sehemu za ndani za mwili kama vile moyo na akili pia huweza kusababisha kifo kwa mwanadamu ambapo zunaweza kupoteza nguvu kazi ya taiga pia athari nyingine kunyonyoka nywele ugonjwa unaoleta athari hii ni kaswende ,

3.athari zingine pia kuna kudhoofika kwa mwili na kupungua kwa kinga ya mwili,na huweza kusababisha magonjwa nyemelezi na hatimaye kifo athari hii uletwa na ugonjwa wa UKIMWI



Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/08/03/Wednesday - 09:02:12 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 1199


Download our Apps
👉1 Kitabu cha Afya     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-