Kuwafanyia Wema Wazazi
Allah (s.
(c)Kuwafanyia Wema Wazazi
Allah (s.w) anatuusia kuwafanyia wema wazazi wawili na hasa kuzidisha wema zaidi kwa mama kwa sababu za msingi ambazo Allah (s.w) mwenyewe anatukumbusha.
“….. Mama yake ameichukua mimba yake kwa udhaifu juu ya udhaifu, na (kumnyonyesha na kuja) kumwachisha kunyonya katika miaka miwili….. " (31:14).
“…..Mama yake amechukua mimba yake kwa taabu na akamzaa kwa taabu. Na kubeba mimba yake hata kumwachisha ziwa (uchache wake) ni miezi thelathini (3 0) …." (46:15).
Namna ya kuwafanyia wema wazazi kumefafanuliwa vyema katika mafunzo ya Surat Bani Israil tuliyoyapitia nyuma.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Kitabu cha Afya 👉2 kitabu cha Simulizi 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 Bongolite - Game zone - Play free game 👉5 ai web app 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Mtazamo wa uislamh juu ya ibada
Katika kipengele hich tutajifunza dhana ya ibada katika uislamu,maana ua ibada
Soma Zaidi...Kumuamini malaika wa mwenyezi Mungu
Nguzo za Imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Mtazamo wa uislamu juu ya dini
Kwenye kipengele hichi tutajifunza mitazamo ya kikafiri juu ya dini.
Soma Zaidi...