Post hii inahusu zaidi kuvunjika kwa mtoto wakati wa kuzaliwa, hali hii utokea kwa watoto wadogo wakati wa kuzaliwa kwa sababu maalum kama tutakavyoona.
Kuvunjika kwa mtoto wakati wa kuzaliwa.
1. Wakati wa kuzaliwa kuzaliwa kuna kipindi mtoto anaweza kuvunjika anaweza kuvunjika sehemu mbalimbali kama vile kwenye mabega, kwenye sehemu za mikono na miguu hali ambayo usababisha kulemaza kwa mtoto na kusababisha kwa baadhi ya viungo kushindwa kufanya kazi zake.
2. Kwa kawaida mtoto kama amezaliwa sio rahisi kumwona mara moja kama amevunjika au kutenguka tunaweza kuona baada ya mtoto kukaa kwa mda inawezekana ni siku moja au mbili kwa sababu ukimshika mtoto anaweza kuanza kulia kwa hiyo ni vizuri kabisa kumwangalia mtoto pindi anapozaliwa ili kuweza kutambua sehemu mbalimbali ambazo zimekuwa na matatizo.
3. Hali hii utokea kwa sababu mbalimbali ambazo ni pamoja na mtoto kama amekaa vibaya tumboni au ametanguliza sehemu ambayo humfanya kuvunjika.
4. Ni vizuri kabisa kuwaangalia watoto wadogo pindi wanapozaliwa ili kuwahi na kuepuka ulemavu wa kudumu.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za kujifungua hatua kwa hatua
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya fangasi ukeni, madhara mbalimbali yanayoweza kutokea iwapo mtu hakutibiwa fangasi mapema.
Soma Zaidi...Unataka kujuwa sababu za mjamzito kutokwa na damu, utelezi ama majimaji kwenye uke wake. Na dalili gani zinaashiriwa na majimaji haya
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi sababu za kukosa hedhi wakati mda wa kuona hedhi umefika ni tatizo linalowasumbua baadhi ya wasichana wachache katika jamii na hii ni kwa sababu zifuatazo.
Soma Zaidi...Presha ya kupanda hypertension huweza kuzumbuwa watu kwa jinsia zote, na umri wote. Wajawazito pia wamekuwa wakisumbuliwa na presha hii mara kwa mara.
Soma Zaidi...Habari DoktaNikuulize kituu?
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu changamoto za ujauzito na dalili zake endelevu
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na huduma kwa mama wajawazito na waliojifungua.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mabadiliko kwenye via vya uzazi kwa wajawazito, tunajua kuwa Mama akibeba mimba tu kuna mabadiliko utokea katika sehemu mbalimbali za mwili.
Soma Zaidi...Hii ni hali inayowapata wanaume kushindwa kuhimili tendo la ndoa.
Soma Zaidi...