Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kuondoa tatizo la nguvu za kiume
JE BADO UNASUMBULIWA NA NGUVU ZA KIKUME?
Kama njia za hapo juu bado hazijakusaidia, sasa ni muda wa kutumia dawa na kuonana na mtaalamu wa afya ya mahusiano. Kama bado umejaribu njia zilizotajwa hapo juu bado hali haina matumaini tu,ia tena njia hi hapa chini:
1.Punguza usito wako
2.Punguza kitambi
3.Kama unasumbuliwa na presha tafuta njia za kudhibiti presha
4.Kama ni mgonjwa wa kisukari tumia dawa vyema ili kudhibiti kisukari
5.Ongea na mshauri wa afya ya mahusiano
6.Punguza kula vyakula vyenye mafuta kwa wingi
7.Punguza stress na misongo ya mawazo
8.Kama unapiga punyeto wacha kabisa
9.Wacha kuangalia picha za uchi kama unaangaliaga.
10.Ongea na daktari kuusu swala la homoni huwenda kusna shida katika mfumo wa homoni
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Kuzaliwa kabla ya wakati humpa mtoto muda mdogo wa kukua tumboni. Watoto waliozaliwa kabla ya wakati, hasa wale waliozaliwa mapema, mara nyingi huwa na matatizo magumu ya matibabu.
Soma Zaidi...Je unasumbuliwa na maumivu ya tumbo. Unadhani ni dalili za mimba na ukapima hakuna mimba.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi madhara ya kutumia madawa ya kupunguza maumivu,ni madhara ambayo utokea kwa mtu anayetumia madawa ya kupunguza maumivu.
Soma Zaidi...Matatizo yahusianayo na nguvu za kume na kukosa hamu ya tendo la ndoa kwahuweza kuchangiwa sana na mpangilio mbovu wa vyakula pamoja na saikolojia ya mtu.
Soma Zaidi...Mama mjamzito anaruhusiwa kushiriki tendo la ndoa mpaka siku ya kujifungua Kama mume wake pamoja na yeye akiwa Hana maambukizi ya zinaa na Kama akiona dalili zozote zile za hatari ndio hataruhusiwa kushiriki tendo la ndoa.
Soma Zaidi...Mimba haipatikani kila siku, na pia mimba huingia kwa siku moja na katika muda mmoja. Baada ya mimba kutungwa hakuna tena nafasi ya kutungwa mimba nyingine.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza baadhi ya sifa za siku za kupata mimba
Soma Zaidi...Je anapatwa maumivu Γ°ΕΈΛΒ makali wakati wa tendo la ndoa ama ukiwa katika hedhi? Soma makala hii hadi mwisho
Soma Zaidi...