Katika somo hili utakwenda kujifunza kuhusu aina za data zinazotumika kwenye Kotlin.
Katika somo lililopita tulijifunza jinsi ya kutengeneza variable bila ya kutaja aina ya data kwenye hiyo variable mfano var x = 6. Ila wakati mwingine utahitaji aina maalimu ya data ndio itumike. Kwa mfano kwenye user input. Hivyo hapa itatubidi tutaje aina ya data kwenyehiyo variable. Mfano var x: int 6;
Kama ukiangalia huo mfano vyema utaona kwanza nimetumia keywor ya kutengeneza variable. Unaweza kutumia yeyote kama ni var au val. Kisha utaweka jina la variable likifuatiw na nukata pcha (:), kisha ndipo utaweka type ya data.
Aina za data kwenye Kotlin:
Kwenye kotlin bado namba imegawanyika katika makundka kama:
Hizo ni namba nzima ambazo hazipo kwenye desimali. Na zile za decimali nazo zimegawanyika kama:-
Katika hizi namba za float na double pia kuna scientific namba hizi ni aba ambazo zipo kwenye power of 10
Mfano:
fun main(){
val x: Float = 2E3F
val y: Double = 3E2
println(x)
println(y)
}
fun main(){
val x: Float = 0.9876F
val y: Double = 3.09
println(x)
println(y)
}
Ili kuitofautisha double n float. Kwenye float utaweka F mwisho angalia hapo juu.
fun main(){
val z = 12; //Byte
val x = 2147483647 // Int
val y = 2147483648 // Long
println(z)
println(x)
println(y)
}
2. Boolean
Hizi ni data ambazo zipo katika namba mbili tu ambazo ni true na false. Edha iwe sawa ama sio sawa. Mfano ji kwenye switch ya umeme, kama haitakuwa ni OFF basi itakuwa ON.
fun main(){
val x: Boolean = true
println(x)
">...Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza tofauti wa library na package
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu Kotlin library. Pia tutakwenda kutengeneza library yetu wenyewe kwa ajili ya kufanya mazoezi zaidi.
Soma Zaidi...Somo hili linaeleza dhana ya polymorphism katika OOP ya Kotlinβuwezo wa kutumia method au object moja kufanya kazi tofauti kulingana na muktadha wake. Tutajifunza aina kuu za polymorphism, jinsi ya kuandika code inayotumia override, open, super, pamoja na mifano hai.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutajifunza method zinazofanya kazi kwenye list data type kwenye Kotlin.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu historia ya Kotlin pamoja na kazi za kotlin. Pia utakwenda kujifunza kuhusu uhusiano wake na java.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana na features za object oriented Programming
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kuingia ndani zaidi kwenye somo la function. Hapa tutakwenda kuona aina za function.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunza kuhusu while loop na do while loop zinavyofanya kazi katika Kotlin.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kujifunza kuhusu method ambazo hutumika kwenye map data type
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunz akuhusu dhana ya module. Hata ivyo tutakwenda kuisoma zaidi kwenye android App
Soma Zaidi...