Tezi dume hii ni tezi inayopatikana katika katika mfumo wa uzazi wa mwanaume Ila hujulikana kama PROSTATE GLAND. pia hukua karibu na kibofu Cha mkojo na mirija ya mkojo hutumika kuzalisha majimaji (simen) yanayobeba mbegu hivyo bas mk
Zifuatazo ni sababu zinazopelekea kupata tezi dume
-umri Mara nyingi huwakumba watu wenye umri anzia 40 na kuendelea ambao Mara nyingi ni wazee ugonjwa huu sio rahisi kuwapata wanaume chini ya umri ya miaka 40 ni Mara chache Sana.
-tezi dume huweza kuwa za kurithiwa inatokana na genetic disorder za kifamilia
-life style mtu anaweza kuishi kwa mawazo au bila kupata Milo kamili kwahiyo staili za maisha huweza kupelekea maradhi ya tez dume.
DALILI ZA TEZI DUME
1.kukojoa Mara kwa Mara hasa nyakati za usiku
2.damu kutoka wakati wa kukojoa
3.kupatwa na ugumu wakati wa kukojoa
4.mchirizi wa mkojo kuwa dhaifu
5.mkojo kutokutoka kabisa
6.kujichafua wakati wa kukojoa.
Athari zinazopelekea tezi dume
-kibofu kuharibika
-kupata na vijiwe kwenye kibofu
-maambukizi ya fangasi au UTI
-kuharibika kwa Figo
Suluhisho; prostate glad Zina matibabu pia hutibika kwahiyo mwanaume akiona dalili kama hizi hashauriwi kukaa kimya kilichopo aende hospital kwaajili ya vipimo na matibabu.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu nadharia ya kupata mtoto wa kiume.
Soma Zaidi...Post hii inahusu zaidi dalili za mimba kutoka, hizi ni dalili ambazo ujitokeza kwa mimba zote ambazo utaka kutoka kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...Je kichwa cha uume wako kinawasha, na je kinatoa majimaji kwenye njia ya mkojo, una muda ganinavtatizo hili. Na je ulishiriki ngono zembe siku za hivi karibuni?
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba kuanzia siku 7 Hadi 14
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi mbinu ambazo tunaweza kuzitumia ili kuwakinga watoto dhidi ya saratani, kama tulivyotangulia kusema kwamba saratani ya watoto mara nyingi Usababishwa na akina Mama hasa kwa sababu ya mtindo wa maisha wakati wa ujauzito kwa hiyo tun
Soma Zaidi...Kutoka na majimaji ka uchache kwa mwanamke sio jambo lakishangaa sana. Damu hii inawezapiabkikbatana damu na maumivu makali.
Soma Zaidi...Nitakujulisha siku ya kupata mimba na sifa zake, na namna ya kuweza kuitafuta
Soma Zaidi...Posti hii inahusu zaidi uhusiano uliopo kati ya Mama Mjamzito na kibofu cha mkojo.ni mwingiliano unaokuwepo ambao usababisha Mama kukojoa sana wakati wa ujauzito.
Soma Zaidi...