Dalili ambazo mwanamke hapaswi kufumbia macho
Posti hii inahusu zaidi dalili ambazo mwanamke hapaswi kufumbia macho.
Dalili ambazo mwanamke hapaswi kufumbia macho.
1. Uchafu kutoka ukeni ikiambatana na harufu mbaya , mwanamke anapaswa kuwahi hospital mapema.
2. Miwasho mikali ukeni ikiambatana na mashavu kuwa na rangi nyekundu, ni vizuri kabisa kutumia dawa Ili kuweza kuepuka matatizo mbalimbali.
3. Kuwepo kwa UTI inayojirudia rudia.
Kuna wanawake kwa mwaka wanapta tatizo la UTI mara Kwa mara.
4. Maumivu makali wakati wa tendo la ndoa mpaka kutokwa na damu.
5. Harufu mbaya ukeni mpaka unashindwa kijumuika na wengine.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉3 web hosting 👉4 kitabu cha Simulizi 👉5 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
Sababu za mtoto kuzaliwa akiwa na uzito mkubwa
Posti hii inahusu zaidi sababu za mtoto mchanga kuzaliwa akiwa na uzito mkubwa, ni tatizo ambalo utokea kwa baadhi ya wajawazito kupata mtoto mwenye Uzito mkubwa, wengine uona kama ni sifa ila Kuna madhara yanaweza kujitokeza kwa Mama hasa wakati wa kujif
Soma Zaidi...Dalili za mimba kuanzia siku 7 Hadi 14
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za mimba kuanzia siku 7 Hadi 14
Soma Zaidi...Madhara ya kufanya tendo la ndoa na mwanamke akiwa katika siku zake.
Tendo la ndoa wakati wa siku za hedhi ni halia mbayo jamii nying zinakataza. Katika vitabu vya dini pia haviruhusu, hata ki saikolojia utaona kuwa sio jambo jema. Hata hivyo hapa ninakuletea madhara yake kiafya
Soma Zaidi...Maumivu ya uume baada ya tendo la ndoa
Utajifunza sababu za kuweo kwa maumivu ya uume wbaada ya tendo la ndoa na wakati wa tendo la ndoa.
Soma Zaidi...Dalili ninazoziona kwangu chuchu zinauma na sjapata period mwezi huu na nlishiriki tarehe 19 mwezi wa tisa
Nini humaanisha kama chuchu zinauma na hupati period mwanaidi mrefu.
Soma Zaidi...Jinsi ya kupata mtoto wa kiume
Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu nadharia ya kupata mtoto wa kiume.
Soma Zaidi...