Sababu za mbegu za kiume kuwa dhaifu

Sababu za mbegu za kiume kuwa dhaifu

Posti hii inahusu zaidi sababu za mbegu za kiume kuwa dhaifu, hali hii uwatokea wanaume wengi kwa sababu mbalimbali za kimaisha ambazo ufanya mbegu za kiume kuwa dhaifu na kusababisha madhara makubwa zaidi kwa sababu wanaume wengi ushindwa kujiamini kwa h

1.ulaji mbovu wa vyakula 

Kuna wakati mwingine utumiaji wa vyakula usiosahii ufanya mbegu za kiume kwa dhaifu kwa mfano ulaji wa vyakula vyenye upungufu wa zinki, vitamini E, folic acid, vitamin B12, na vitamini C.

 

2. Kuwepo kwa sumu mwilini.

Kuwepo kwa sumu mwilini ambayo Usababishwa na kuwepo kwa vyakula vyenye sumu mwilini kwa hiyo sumu ikiwa nyingi mwili Usababisha nguvu za kiume kuwa laini na dhaifu.

 

3. Joto kali kupita kiasi.

Kama mtu anaishi sehemu yenye joto kubwa kuliko kiasi Usababisha mbegu za kiume juwa dhaifu na laini.

 

4. Mfadhaiko au stress.

Wakati mwingine mtu akiwa na mfadhaiko au mawazo mengi uweza kusambaa mpaka kwenye sehemu za uzazi na kusababisha mbegu za kiume kuwa dhaifu.

 

5. Unywaji wa pombe uliokithiri.

Kwa wakati mwingine kuna tabia ya watu wanaokumywa pombe kupita kiasi wanafanya hali ya mbegu za kiume kuwa dhaifu kwa hiyo wanaokumywa pombe wanapaswa kuacha kutumia pombe ili kuepuka matatizo zaidi.

 

6. Matumizi ya vinywaji vyenye sumu au kemikali.

Kuna wanaume wengine wanafanya kazi sehemu ambazo kuna kemikali zenye nguvu ambazo Usababisha mbegu za kiume kuwa dhaifu.

 

7. Kujichua au kupiga pinyeto.

Kuna wanaume wengine ambao wanapiga pinyeto ambayo Usababisha mbegu za kiume kuwa dhaifu na kushindwa kufanya kazi.

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Uzazi Main: Post File: Download PDF Views: 3081

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Simulizi za Hadithi Audio     👉3 ai web app     👉4 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉5 Bongolite - Game zone - Play free game     👉6 kitabu cha Simulizi    

Post zinazofanana:

Kutokwa na damu baada ya tendo la ndoa

Kutokwa na damu baada ya tendo la ndoabkunaweza kuashiria kuwa kuna majeraha yametokea huwenda ni michubuko ilitokea ndio ikavujisha damu. Lakini kwa nini hali kama hii itokee. Posti hii itakwwnda mujibu swali hili.

Soma Zaidi...
Dalili za kujifungua

Makala hii itakwenda kukufundisha dalili za kujifunguwa, hatuwa za kujifunguwa na kuzalisha, pia utajifunza mabo muhimu kabla na wakatii wa kujifungua.

Soma Zaidi...
Maumivu ya Uke na Uume baada ya tendo la ndoa na wakati wa tendo la ndoa

Utajifunza sababu za maumivu ya uume na uke wakati wa tendo la ndoa na baada ya tendo la ndoa na matibabu yake.

Soma Zaidi...
Jinsi ya kuacha kupiga punyeto.

Post hii inakwenda kukupa njia za kukusaidia kuacha punyeto.

Soma Zaidi...
Kutokwa maji yan seminal swhemu za siri kwa mwanamke nidalili ya ugojwa gan?

Kutokwa Majimaji sehemu za siri kwa mwanamke sio jambo la kushangaza na kuhisivunaumwa. Majimajivhaya ndio huboresha afya ya uzazi kwa kusafisha na kulinda via vya uzazi. Lakini majimajivhaya yakiwa mengi, ama yanawasha ama yanaharufu haa ndipo kwenye tat

Soma Zaidi...
Fahamu dawa ya tetracycline katika kupambana na bakteria

Post hii inahusu zaidi dawa ya tetracycline katika kupambana na bakteria,ni mojawapo ya antibiotics au anti bacteria ambayo upambana na bakteria kama tutakavyoona hapo mbeleni.

Soma Zaidi...