Imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi.
Posti hii inahusu zaidi imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi,ni Imani walizonazo watu wengi kuhusiana na ugonjwa wa Ukimwi.
Imani potofu juu ya ugonjwa wa Ukimwi.
1. Kupata ugonjwa wa Ukimwi ndio mwisho wa maisha, ni Imani waliyonayo watu wengi na wengine wanakata tamaa wakijua kuwa hawataishi mda mrefu.
2.Tohara kwa wanaume unazuia maambukizi ya Ukimwi, hii si kweli
3.Ukimwi unatibika,hii si kweli Ukimwi bao mpaka saa hauna tiba ya kuponyesha kwa wale wanapenda kwa waganga wanajidanganya na kidai kuwa wameombewa hiyo si kweli.
4.Nikiwa na ugonjwa wa Ukimwi siruhusiwa kubeba mimba, hii si kweli Kuna njia zinazotumika na wakina Mama wengi wenye maambukizi na wamebeba mimba na watoto wao hawana maambukizi.
5. Mtoto hapaswi kunyonya pale anapozaliwa na Mama mwenye maambukizi, hiyo si kweli, mama anapaswa kumnyonyesha mtoto wake akiwa anafuata maagizo ya wataalamu,
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 ai web app 👉2 Simulizi za Hadithi Audio 👉3 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉4 Kitau cha Fiqh 👉5 Dua za Mitume na Manabii 👉6 Madrasa kiganjani
Post zinazofanana:
Utaratibu wa maisha kwa aliye athirika
Somo hili linakwenda kukuletea utaratibu wa maisha kwa aliye athirika
Soma Zaidi...Hatua za kufuata baada ya kuhisi kuwa umeambukizwa na virusi vya HIV
Posti hii inahusu zaidi hatua za kufuata unapohisi umeambukizwa na virus vya ukimwi. Kwa sababu watu wengi wanakuwa na kiwewe anapohisi ameambukizwa na virus vya ukimwi kwa hiyo wanapaswa kufanya yafuatayo.
Soma Zaidi...Kuboresha afya
Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu mambo yanayosaidia kuboresha afya
Soma Zaidi...Sababu za michubuko kwa watoto wanaozaliwa
Post hii inahusu zaidi sababu za michubuko kwa watoto wanaozaliwa,ni sababu ambazo uweza kuchangia kuwepo kwa michubuko kwa watoto wanaozaliwa.
Soma Zaidi...Zijue dalili za upungufu wa maji mwilini
Posti hii inaelezea kuhusiana na upungufu wa maji mwilini
Soma Zaidi...