Fahamu madhara ya Maambukizi ya mfumo wa Uzazi wa mwanamke PID
Posti hii inazungumzia kuhusiana na mathara yanayosababisha Ugonjwa wa Maambukizi ya mfumo wa Uzazi wa mwanamke
Madhara ya Maambukizi ya mfumo wa Uzazi wa mwnamke PID
1.mirija ya uzazi kuziba hivyo hivyo kushindwa kupitisha mayai yaliyopevuka ili kurutubisha, hii huweza kusababisha mimba kutungiwa nje ya mfuko (ectopic pregnancy)
2.uke au uchi kukauka Mara kwa Mara, kwasababu ya Maambukizi ya mfumo wa Uzazi kushindwa kutoa unyevu unyevu ambao hufanya uke kuwa na unyevu (moisture) na uke ukiwa mkavu husababisha maumivu wakati wa kujamiina na michubuko pia.
3.mzunguko wa hedhi wa Mara kwa Mara, hutokea pale ambapo via vya Uzazi vimesha shambuliwa na bacteria.
4.kukosa hamu ya tendo la ndoa kwasababu ya hormone imbalance.
5.kupata kansa ya shingo ya uzazi kutokana na kushambuliwa na Maambukizi ya bacteria katika sehemu za Uzazi
6.mimba kutungiwa nje ya kizazi baada ya kizazi Kuharibika na mirija ya uzazi kuziba.
7.kukosa hamu ya tendo la ndoa kwasababu ya hormone Imbalance.
8. Kukosa Ute wa hedhi (Ovulation) unaoashiria siku maalumu za kupata mimba
9.wakati mwingine kukosa hedhi kabisa.
10.mirija ya uzazi Kuharibika kwasababu huziba pia bacteria huenda moja kwa moja kushambuliwa mirija ya uzazi hivyo huharibika.
11. Mwanamke atapata ugumba Kama atashindwa kupata tiba sahii kwa muda muafaka
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 Bongolite - Game zone - Play free game 👉4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Dua za Mitume na Manabii
Post zinazofanana:
mambo HATARI KWA UJAUZITO (MIMBA) mambo yanayopelekea kujauzito kuwa hatarini kutoka
Tofauti na mambo matano yaliyotajwa hapo juu kuwa yanapelekea ujauzito kutoka, kuna mambo mengine ambayo yanaweza kuuweka ujauzito kuwa hatarini.
Soma Zaidi...Dalili za kuharibika kwa mimba
Katika post hii utajifunza ishara na dalili ninazoonyesha kuwa mimba ipo hatarini kutoka ama inaweza kuwa imeshatoka.
Soma Zaidi...Madhara ya tumbaku na sigara
Post hii itakwenda kuangalia madhara ya tumbaku na sigara anayoweza kuyapata mvutaji
Soma Zaidi...Maumivu ya uume baada ya tendo la ndoa
Utajifunza sababu za kuweo kwa maumivu ya uume wbaada ya tendo la ndoa na wakati wa tendo la ndoa.
Soma Zaidi...Mwanaune anapataje fangasi kwenye uume
Post hii itakujulishs kwa namna gani mwanaune anaweza kupata fangasi kwenye uume wake
Soma Zaidi...Dalili za mimba kutoka.
Post hii inahusu zaidi dalili za mimba kutoka, hizi ni dalili ambazo ujitokeza kwa mimba zote ambazo utaka kutoka kama ifuatavyo.
Soma Zaidi...