Tatizo la fizi kuachana.

Posti hii inahusu zaidi tatizo la fizi kuachana, ni tatizo ambalo uwakumba watu wengi kwa wakati mwingine unakuta fizi zimeachana kutoka sehemu moja kwa nyingine kwa hiyo tunaweza kuona sababu kama ifuatavyo.

Tatizo la fizi kuachana.

1. Tatizo la kwanza ni meno juwa madogo sana kuliko size ya teeth na jaw bone.

Kwa wakati mwingine unakuta mtu ana meno madogo kwa size yake na Usababisha fizi kuachana.

 

2. Sababu nyingine ni za kigenetics kwa sababu unakuta familia nzima ina meno ya hivyo kutoka kizazi kimoja kwenda kingine.

 

3. Sababu nyingine ni kuwa na uvimbe kwenye fizi za meno  au kuwepo kwa uvimbe kwenye tisu za fizi usababisha fizi kuachana kutoka kwenye hatua moja kwa nyingine.

 

4. Watoto wengine ambao wana tabia ya kunyonya vidole fumba wana kwa mda mrefu ufanya fizi zao kuachana kutoka kwenye sehemu moja kwa nyingine.

 

5. Pengine kuna magonjwa ya fizi.

Magonjwa ya fizi nayo usababisha fizi kuachana kutoka kwa moja na nyingine kwa kitaalamu Magonjwa hayo huitwa gum disease.

 

6. Matumizi mbalimbali ya kemikali nayo usababisha fizi kuachana, pengine kemikali hizi utumika katika kusafisha meno au urembo kwenye meno Usababisha fizi kuachana.

 

7.Kwa hiyo tunaona wazi kubwa sababu mbalimbali ambazo ufanya fizi kuachana kwa hiyo kwa zile ambazo zinaweza kutibika na kurekebishwa zinapaswa kufanywa hivyo ili kuondoa matatizo haya kwenye jamii.Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Kama unahitaji kuuliza maswali Bofya hapa

Mwandhishi Tarehe 2022/03/08/Tuesday - 07:36:47 pm     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 752


Download our Apps
👉1 Kitau cha Fiqh     👉2 Kitabu cha Afya     👉3 kitabu cha Simulizi     👉4 Madrasa kiganjani    

Post zifazofanana:-