Post hii inahusu dalili za mtu Mwenye ugonjwa wa kisukari, dalili hizi zinaweza kujitokeza Moja kwa Moja mtu akagundua kuwa ana Ugonjwa wa kisukari.zifuatazo ni dalili za ugonjwa wa kisukari.
1. Mgonjwa wa kisukari Upata kiu sana.
Hali hii ujitokeza kwa mgonjwa wa kisukari kwa sababu ya kuongezeka kwa kiasi kikubwa Cha sukari mwilini kwa hiyo mgonjwa uhisi kiu kwa sababu ya kupungua kiwango Cha sukari kwenye mwili, kwa sababu homoni ambazo zinahusika na kubadili sukari mwilini zinakuwa hazifanyi kazi kwa hiyo kiasi Cha sukari huwa kingi sana mwilini kwa hiyo mgonjwa uhisi kunywa maji Ili kuweza kupunguza kiasi Cha sukari kilicho mwilini.
2. Mgonjwa ukojoa sana.
Mgonjwa mwenye ugonjwa wa kisukari uhisi hali ya kukojoa sana kwa Sababu ya kuwepo kwa sukari nyingi kwenye damu, kwa hiyo mgonjwa unywa maji mengi na kwa sababu ya kunywa sana maji ukojoa sana kwa sababu ya kuwepo kwa maji mengi mwilini kwa hiyo tunapoona Dali hii ya kukojoa sana ni dalili inayowakumba wagonjwa wa kisukari kwa hiyo mtu akiona dalili hizi hawai sana hospitalini Ili kupima na kuangalia afya.
3. Kichefuchefu na kutapika.
Mgonjwa wa kisukari ana Dalili za kuhisi kisukari na kitapika, hali hii inajitokeza kwa sababu ya mwili kutokuwa katika hali ya kawaida, kwa sababu ya kuongezeka kwa kiwango kikubwa Cha sukari mwilini umfanya mgonjwa ajisikie hali ya kichefuchefu na kutapika. Kwa hiyo mgonjwa akihisi dalili kama hizi anapaswa kwenda hospitalini kupima. Ingawa sio kila mgonjwa akisikia hali ya kichefuchefu na kutapika ana sukari hapana kupima ni Jambo la busara na la kuaminika hata kama mtu anatumia dawa anakuwa na uhakikisha.
4.Mgonjwa wa kisukari Upata maambukizi kuliko kawaida. Kwa kawaida kitendo Cha homoni kushindwa kubadili sukari ambayo imo ndani ya damu kwa sababu hiyo maambukizi huwa mengi kuliko kawaida.kwa hiyo mtu Mwenye sukari anapaswa kwenda hospitalini kupima pale anapohisi mabadiliko kwenye mwili.
5. Mgonjwa wa kisukari Upata madonda na uchelewa kupona.
Wagonjwa wa kisukari Wana Tabia ya kupata madonda na madonda hayo uchelewa kupona kwa sababu ya kuongezeka kwa kiasi kikubwa Cha sukari kwenye damu hali hii usababisha vidonda au kidonda kinachukua mda kupona
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Post hii inahusu zaidi maambukizi kwenye nephroni, uweza kutokea kwenye figo Moja au zote mbili.
Soma Zaidi...Kabla ya kubanwa zaidi na pumu, kuna dalili za awali zinzznza kujitokeza, na hapo ndipo utakapoanza kuchukuwa tahadhari. Makala hii itakwenda kukujulisha zaidi kuhusu dalili hizo.
Soma Zaidi...Polio ni ugonjwa wa virusi unaoambukiza ambao katika hali mbaya zaidi husababisha kupooza, kupumua kwa shida na wakati mwingine kifo.
Soma Zaidi...Posti hii inahusu namna madonda koo yanavyotokea, ni jinsi na namna Magonjwa haya au Maambukizi yanavyotokea na kuweza kusababisha madhara kwa watu.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu vyakula hatari kwa mwenye vidonda vya tumbo
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu dalili za minyoo na sababu zake
Soma Zaidi...Jibu ni hapana, matehayawezi kuambukiza HIV. Lakini swali unalotakiwa kulijibu je ni kwa nini mate hayaambukizi. Makala hii itakwend akukupa majibu haya
Soma Zaidi...Fangasi hawa ni maarufu sana kwa mapunye ya kichwani ama kwenye ngozi mikononi ama miguuni.
Soma Zaidi...Posti hii inazungumzia kuhusiana na Ugonjwa wa akili .
Soma Zaidi...