Menu



mfano mtu ametoka kusex, jana alafu Leo akikojoa mkojo una muhuma na Wa mwisho unatoka damu, itakuwa ugonjwa gani eti,

mfano mtu ametoka kusex, jana alafu Leo akikojoa mkojo una muhuma na Wa mwisho unatoka damu, itakuwa ugonjwa gani eti,

Habar za mdahuu!!! pole na majukum yako, nimetembelea kwenye mitandao ya kijamii, kuhusu maswala ya afya, sasa nikakuta sehemu ya kutoa maoni au kuuliza swali, kuhusu ugonjwa wa gonorhea, swali langu niivi mfano mtu ametoka kusex, jana alafu Leo akikojoa mkojo una muhuma na Wa mwisho unatoka damu, itakuwa ugonjwa gani eti, samahan kwa usumbufu kama utanisaidia nitashukulu sana ahsante



Namba ya swali 006

Rangi ya mkojo wako kuwa mwekundu inaweza kuwa kuna damu inaingia kwenye mkojo. Damu hii inaweza kuashiria vitu kadhaa ambavyo nu hatari sana kwa afya yako. Kwa mfano kama rangi ya mkojo wako ni nyekundua na pink na ikawa sababu yake ni kuchanganyikana na damu, basi hapa tunaweza kusema kuwa: huwenda mtu huyu ana kichocho, au UTI, korodani linashida, ana mauvimbe yanayosababishwa na saratani, ana shida kwenye figo,amekimbia kwa umbali mrefu na kwa muda mrefu,ana vijiwe kwenye figo ama kwenye kibofu. Kama mkojo una rangi nyekundu hivyo moja kati ya hizo huwenda ndio sababu.

Hivyo basi ni vyema kwenda kupima ujuwe ni nini hasa chanzo



Namba ya swali 006

Nimekuelewa



Namba ya swali 006

Kujuwa zaidi mabadiliko ya rangi za mkojo na afya yako bofya hapa



Namba ya swali 006

Download App Yetu

Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.

Download Now Bongoclass

Nyuma Endelea

Ndio     Hapana     Save post
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: magonjwa Main: Post File: Download PDF Views 613

Share On:

Facebook WhatsApp

Post zinazofanana:

Dalili za kifua kikuu (tuberculosis)

Kifua kikuu ni ugonjwa sugu wa kuambukiza na anuwai ya magonjwa ya kiafya yanayosababishwa na Mycobacterium tuberculosis complex. Kwa binadamu sababu ya kawaida ni Mycobacterium tuberculosis.

Soma Zaidi...
Jifunze zaidi mzunguko wa mfumo wa damu kwa binadamu

Posti hii inahusu zaidi mfumo wa mwili ambao huhusika na kusafirisha damu ,virutubisho na takamwili.mfumo huu unajumuisha damu,mishipa ya damu na moyo.moyo husukuma damu kupitia mishipa ya damu na kufika maeneo yote ya mwili.

Soma Zaidi...
Ugonjwa wa degedege na dalili zake

Ugonjwa wa degedege ni ugonjwa unaowapata sana watoto chini ya miaka mitano ingawa na watu wazima wanapatwa na ugonjwa huo

Soma Zaidi...
nahis miguu pamoja na mikono kuishiwa nguvu ni mgongo kuuma ni dalili za ugonjwa gan ?

mm nahis miguu pamoja na mikono kuishiwa nguvu ni mgongo kuuma ni dalili za ugonjwa gan ?

Soma Zaidi...
Hernia

Somo Hili linakwenda kukueleza kuhusu ugonjwa wa hernia

Soma Zaidi...
VIRUSI VYA KORONA AU CORONA (CORONAVIRUS)

Virusi vya korona ni katika aina za virusi ambavyo asili yake ni kutoka kwa wanyama na kuja kwa binadamu.

Soma Zaidi...
Fahamu ugonjwa wa Varicose vein

Posti hii inahusu zaidi ugonjwa wa vericose veini, hili ni tatizo ambalo utokea katika mzunguko wa damu hasa kwenye miguu.

Soma Zaidi...
ATHARI ZA KUTOTIBIWA VIDONDA VYA TUMBO

ATHARI ZA KUTOTIBIWA VIDONDA VYA TUMBO Kuachwa kwa vidonda vya tumbo bila kutibiwa, vinaweza kusababisha: Kutokwa na damu kwa ndani.

Soma Zaidi...