Sifa na majina ya siku ya mwisho siku ya kiyama


siku ya mwisho katika Quran imepewayafuatayo:



Siku ya Qiyama (21:47, 75:1, 75:6, 79: 42) Siku ya mwisho (2:4, 2:8, 58:22)



Siku ya malipo (1 :4, 82:9, 95 :7, 107:1, 83 :11) Msiba ugongao nyoyo (101:1)



Siku ya hukumu (77:13-14)Wakati maalumu (56:49-50)



Siku ya makamio (50:20)



Siku ya makutano (40:15)



Siku iliyokaribu sana kufika (40:18)



Siku ya kuitana (40:32)



Siku ya kutoka makaburini (50:42)Tukio lilokaribu, limesogea



Siku zitakapotikisika mbingu mtikisiko wake 187


(xiv)Siku ya kukaa daima (50:42)



(xv)Siku zitakapofichuliwa siri (86:9)



(xvi)Tukio la Haki (69:1-3)



(xvii)Siku ya Haki (78:39)



(xviii)Tukio kubwa (56:1-2)



(xix)Siku iliyokadiriwa (85:2)



(xx)Msiba ukumbao (88:1)



(xxi)Siku iliyokuu (83:5)



(xxii)Siku ya mkusanyiko (64:9)



(xxiii)Siku ya Hisabu