Maswali juu ya mtazamo wa uislamu kuhusu dini

Mtazamo wa uislamu kuhusu dini (EDK form 2:dhana ya elimu ya uislamu)

Zoezi la 2.

  1. Eleza maana ya neno ‘Dini’ kwa mtazamo wa;

(a) Kikafiri.

(b) Kiislamu.

  1. Eleza udhaifu wa mtazamo wa Kikafiri dhidi ya ule wa Uislamu juu ya;

(a)  maana ya dini.

(b)  asili au chanzo cha dini. 

(c)  kazi za dini katika jamii.

  1. Kwa mtazamo wa Uislamu, Dini ndio nyenzo pekee inayoweza kumkomboa mwanaadamu kwa kila aina ya utumwa. Eleza jinsi Dini ya Uislamu inavyoweza kumkomboa mwanaadamu na sio vinginevyo.

 

  1. Bainisha sababu zinazomfanya mwanaadamu pamoja na ujuzi alionao hawezi kuishi bila ya dini (kufuata utaratibu wa maisha). 
  2. Taja vipawa alivyotunukiwa mwanaadamu na Mola wake vinavyomtofautisha na wanyama.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Tawhid Main: Dini File: Download PDF Views 5136

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Bongolite - Game zone - Play free game    👉2 Simulizi za Hadithi Audio    👉3 Kitau cha Fiqh    👉4 Madrasa kiganjani    👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉6 kitabu cha Simulizi   

Post zinazofanana: