image

Sifa za Allah Mwenyezi Mungu

Sifa za Allah Mwenyezi Mungu

Sifa za Allah (s.w)




Kuthibitisha kuwepo kwa Mungu muumba baada ya kutafakari ishara mbali mbali zilizotuzunguka katika kuiendea Imani ya kweli juu ya Allah (s.w) ni hatua ya kwanza. Hatua ya pili ni kuzifahamu sifa (Attributes) za Allah (s.w).


Sifa za Allah (s.w) ni nyingi kiasi kwamba hapana yeyote awezaye kuzimaliza kama tunavyojifunza katika aya zifuatazo:“Sema hata bahari ingelikuwa ndio wino kwa kuyaandika maneno ya Mola wangu, basi bahari ingelikw is ha kabla ya kwisha maneno ya Mola wangu hata kama tungelileta (bahari) kama hiyo kuongezea” (18:109)“Na lau kama miti yote iliyomo katika ardhi ingelikuwa kalamu, na bahari hii (ikafanywa win o) na ikasaidiwa na bahari nyingine saba, maneno ya Mwenyezi Mungu yasingelikwisha.Bila shaka Mwenyezi Mungu ni mwenye nguvu, mwenye hekima” (31:27)
Pamoja na msisitizo huu Mtume (s.a.w) anataja majina na sifa 99 za Mwenyezi Mungu katika hadithi iliyosimuliwa na Abu Hurairah na kupokelewa na Imam Muslim kama ifuatavyo:



1.Allah Mwenyezi Mungu, Mola Mwenye ku stahiki kuwepo. Hili ndilo jina la Dhati la Mungu Mmoja tu.



2. Ar-RahmaanuMwingi wa Rehema (huruma).



3.Ar-Rahiimu Mwenye kurehemu.



4.Al-Maliku Mfalme wa kweli wa milele. Mfalme wa Wafalme.



5.Al-Qudduusu Mtakatifu, Ametakasika na sifa zote chafu.



6.As-Salaamu Mwenye Kusalimika, Mwenye kuleta amani, Mwenye Salama.



7.Al-Mu’uminu Mtoaji wa amani.



8.Al-Muhayminu Mwangalizi wa mambo ya viumbe vyake (matendo yao, uhai wao, n.k) Mlinzi, Mchungaji.



9.Al-’Aziizu Mwenye Shani, shahidi katika mambo yake, Muhitajiwa na kila kitu na wala hahitaji kwa yeyote katika viumbe vyake.


10. Al-JabbaaruMwenye kuunga mambo yaliyovunjika. Mwenye kulazimisha viumbe wafanye analolitaka yeye bila ya wao kuwa na uwezo wala uhuru wa kumlazimisha yeye kufanya wanalotaka viumbe.



11.Al-Mutakabbiru Mwenye Kibri na Haki ya Kibri (Majestic, Suprem Pride).



12.Al-Khaaliqu Muumbaji, Mbora wa waumbaji.



13.Al-Baariu Mtengenezaji (The maker out of nothing).



14.Al-Muswawwiru Mfanyaji wa sura za namna namna (the Fashioner).



15.Al-Wahhaabu Mpaji Mkuu (The Bestower)



16.Ar-Razzaaqu Mtoaji wa Riziki, Mwenye kuruzuku.



17.Al-Fattaahu Afungua kila kitu.



18.Al-Aliimu Ajuae, Mjuzi wa kila kitu.



19.Al-Qaabidhu Mwenye kuzuia, Mwenye kufisha na kusababisha kufa, Mwenye kunyima (kutia umaskini).



22.A1-Baasitwu J 1Mwenye kutna, Mwenye kuhuisha, mwenye kuvipa viumbe mwenye kutajirisha.



23.Al-Khaafidhu Mfedhehesha waovu.



24.Ar-Raafiu Mpaji cheo, Mpandishaji daraja.



25.A1-Mui'zzu Mtoaji heshima kwa amtakaye.



26.Al-Mudhillu c~ 1 Mnyima heshima kwa amtakaye, mwenye kudhili.


l
27.As-Samiiu' Mwenye kusikia, Msikivu wa hail ya juu kabisa.

28. Al-Baswiiru Mwenye kuona, Muoni wa hali ya juu kabisa.



29. AI-Hakamu Mwenye kuhukumu, Mwenye kukata shauri,Mwamuzi.

30.Al-'Adlu Muadilifu, mwenye kutoa haki asiye dhulumu.



31.A1-Latwiifu, I 1 1 Mpole, laini, mwenye huruma sana.



32.A1-Khabiiru Mwenye khabari zote (mjuzi wa mambo yote).



33.Al-Haliimu Mpole sana, kabisa

34.AI-A'dhiimu Mkuu, Aliye Mkuu.



37. A1-'AIligyuAliye juu (The High).


38. Al-KabiiruMkubwa wa kuishi Mkongwe.


39. Al-Hafiidhu Haafidhi (The Preserver) Mwenye kuhifadhi kila kitu.



40.Al-Mugiitu ? Mlishaji (the Feeder), Mtoaji Riziki kwa kila kiumbe, Mwenye nguvu.



41.Al-HasiibuMwenye kuhesabu (The Reckoner), Mjuzi wa Hesabu.



42.Al-Jaliilu Mzuri wa hali ya juu (The majestic), Tajiri, Mtukufu, Mjuzi, Mtawala mwenye Nguvu (yote haya yanajumuisha Al-Jaliil).(Mzuri wa hat tote) 'i



43: A1-Kariimu



44.Ar-Ragiibu Muoni wa kila linalofanyika, Mwenye kuona yote yanayofanywa; anayaangalia yote yanayofanywa (The Watcher, The Watchful)

45.A1-MujiibuMpokeaji wa maombi ya waja wake. Mwenye kuona yotc yanayofanywa, anayaangalia yote yanayofanywa.



46.A1-Waasiu s -1 Mwenye Wasaa, Mwenye kila kitu.



47.A1-Hakiimu Mwenye Hikma (The arise).

48.Al-WaduuduMwenye Upendo (The Loving), Mwenye kupenda kuwatakia mazuri watu.

49.Al-Majiidu 1Mtukufu (The Glorious), Mwenye kustahiki kutukuzwa. Jina hili lina changanywa kwa pamoja Al-Jaliil, Al-Wahaab na AI-Kariim.



50. Al-Baa'ithu Mwenye kufufua


51. As-Shahiidu Shahidi mwenye wafu.



52.Al-Hagqu Wa haki, Wa kweli hasa, Mkweli (The Truth), The True.

53.A1-Wakiilu Wakili (The Advocate), Mdhamini (The Trustee), Mlinzi mwenye kustahiki kuachiwa mambo ya watu.Anayeangalia na kulinda yote (The Representative).



54.Al-Qawigyu Mwenye nguvu (the Strong).



55.A1-Matiinu Aliye Madhubuti (The Firm), Asiyetingishika kwa lolote.

56.A1-Waliyyu 9 l Mwenye kusifika, kila sifa njema ni zake.



57.AI-Hamlidu - 4 ? A Mhimidiwa, Mwenye kustahiki sifa zote nzuri.



58.A1-Muhswiy Mwenye kudhibiti (hesabu), Mwenye kuhesabu.



59.A1-Mubdiu 1 Mwenye kuanzisha j'fhe Producer, The Originator).



60.A1-Mu'iidu Mwenye kurejeza (The producer, The R`estorer). Angalia: Yeye Allah Ndiye Mwenye kuanzisha viumbe na kuvifanya vifu, kisha ndiye mwenye kuvirejesha tena kwenye maisha baada ya kufa.



61. Al-Muhyi Mwenye kuhuisha.



62.Al-Hayyu Mwenye uhai wa milele (Tie Alive).



63.Al-MumiituMwenye kufisha (The Causer of death, The Destroyer).



64 A1-Qayyumu



64.Mia k la jambo, Mwendeshaji wa mambo yote.



65.A1-Waajidu ` Mwenye utaambuzi wa kila kitu. Utambuz}}i (The Perceiver).



66.A1-Maajidu Wa kuheshimiwa, Mtukufu (TYte Noble, illustrious).



67.A1-Waahidu Mwenye kupwekeka, Mmoja to (The One).68.As-8wamadu Mwenye kukusudiwa kwa kuabudiwa, kuombwa na kutegemewa.

69.A1-Qaadiru j 1Mwenye uwezo wa kufanya au kutofanya kila kitu, Muweza wa kufanya au kutofanya chochote.


71.Al-Muqaddimu Mwenye kutanguliza, mwenye kumleta mja karibu naye.



72.A1-MuakhiruMwenye kuakhirisha (The Postaponer). Mwenye kubakisha nyuma Mwenye kumpeleka mja mbali naye (The Deferer).



73.A1-Awwalu 'jq Wa mwanzo (The first).



74 Al Aakhiru Wa mwisho (The last).


75.Adh-Dhaahiru ? Wa dhahiri (The Outward). Haonekani kwa macho, wala hagusiki, wala haonjeki, ila anaonekana kwa akili na hoja zilizo wazi hapa ulimwenguni.



76.Al-Baatwinu Wa siri (The Inward).



77.A1-Waliyyu Gavana (The Governor), Mpanga Mipango ya watu na mwangalizi wa mipango yote.



78.Al-Muta'aaliMtukufu aliye juu (The High Exalted).



79. Al-BarraMwema (The righteous).



80.At-TabuMwenye kupokea Toba za waja we.



81.Al-MuntagimuMwenye kuchukua kisasi, Mlipakisasi kwa waovu.

82.Al-'Afuwwu madhambi ya waja wake Mwenye kusamehe madhambi, mfuta
(The Pardoner), Msamehevu. 109


83.Ar-Rauufu Mpole, Mwenye huruma (The compassionate).

84.Maalikal-Mulki lMwenye kumiliki ufalme wote, Mfalme wa Wafalme (The Owner of the Sovereignty) Mwenye kutumia mamlaka yake atakavyo.

85.Dhil jalaali Wag-IkraamiMwenye Utukufu na Heshima (The2ord of Majesty and Bounty).



86.Al-MugsituMwenye kukamilisha usawa (The Equitable) Mwenye kutoa usawa. Mtoaji Haki sawa kwa kila anayestahiki.


l
87.A1-Jaamiu'Mkusanyaji (The gather or The Collector), Mkusanyaji viumbe siku ya mwisho (Kiyama).



88.A1-Ghaniyyu'Mwenye kujitosheleza (The self Sufficient), Hahitaji chochote kwa yeyote (The Independent, The absolute), Tajiri (The Rich).Mwenye kuzalimisha viumbe kutokana na mabaya, mwenyc kuzuia viumbe visidhurike, mwenye kunusuru (The Preventer, The Witholder).



91.Adh-Dhaarru . . I Mwenye kuleta shari (Dhara), Mwenye kudhurisha (The Distresser).



92.An-Naafiu' Mwenye kuleta nafuu (Kheri), Mwenye kunufaisha (The Profitor).



93.An-Nuuru ) Nuru, Mwenye Nuru, Mwangaza (The Light).


94.Al-Haadi Mwenye kuongoza waja wake katika kheri mbali mbali (Elimu, Riziki, n.k) Mwongozaji (The Guide).



95. Al-Badiiu'Mwasisi (The Originator).

96.Al-Baaqy . Je Mwenye kubakia Milele, hana mwisho (The Everlasfirtg, Enduring).

97.A1-Waarithu . Mrithi, Mwenye Kurithi kila kitu (baada ya wenyewe kufa).



98.Ar-Rashiidu Mwenye kuongoa, mwenye kuongoa waja wake kuiendea njia ya kheri.



99.As-SwabuuruMwenye kusubiri, mwenyc subira (The Patient).Katika Qur-an sifa za Mwenyezi Mungu zimeelezwa katika aya mbali mbali lakini si kwa mfululizo huu tulioupanga katika Hadith. Ayatul-Qurusiyyu (2:55)"Mwenyezi Mungu hakuna Mola i1a Yeye.


Ndiye mwenye Uhai wa mile. Msimamizi wa kila jambo, kusinzia hakumshiki wales kulala Ni uyake (peke yoke vyote) uiliuyomo mbinguni na ardhini. Na nani huyo awezaye kuombea mbele yoke bila ya idhini yoke? Aqua yali yomo mbele yao uiumbe na yaliyo nyuma yao; Wala (Hao uiumbe) hawajui lolote katika ilimu yoke, ila kwa aiipendnlo (mwenyewe).


Enzi yoke imeenea mbingu na ardhi, wala kuvilinda hivyo hakumshindi na Yeye pekee ndiye aliye juu (ya kila kite) na Ndiye Aliye Mkuu.


(2:255)"Kinamtukuza wenyezi Mungu kila kilichomo mbinguni na ardhini, na Yeye ndiye mwenye Nguuu, Mwenye Hekima.Ufalme wa mbingu na ardhi ni wake, na Yeye ni Mwenye uwezajuu ya kiia kitu.
Yeye ndiye wa mwanzo na ,na ndiye wa Dhahiri na wa Naye ndiye Mjuzi wa kila kite.


Yeye ndiye aliyeziumba mbingu na ardhi katika nyakati sita, kisha akatawala katika enzi yake. Anayajua yanayoingia katika ardhi na yanayotoka humo, na yanayoteremka kutoka mbinguni na yanayopanda humo Naye Yu pamoja nanyi popote mlipo na MwenyeziMungu anaona yote mnayoyatenda.
Ufalme wa mbingu na ardhi ni wake na mambo yote yanarudishwa kwa Mwenyezi Mungu.Anaingiza usiku katika mchana na anaingiza mchana katika usiku.Na yeye anajua yaliyo fichika


.MwamininiMwenyeziMungu naMtume wake, na toeni katika yale aliyokupeni. Basi wale walioamini miongoni mwenu na wakatoa, wana malipo makubwa "
"Yeye ndiyeAllah Ambaye hakuna aabudiwaye kwa halo i1a Yeye tu.


Ni Mjuzi wa yaliyofichikana na yaliyo Dhahir Mwingi waRehema, Mwenye kurehemu.Yeye Ndiye Allah, ambaye hakuna aabudiwaye kwa halo ila Yeye tu


.Ni Mfalme Mtakattfu, Mwenye Salama, Mtoaji wa Amani, Mwendeshaji wa mambo yoke. Mwenye shani, mwenye kufanya alitakalo, Mkubwa (kuliko vyote vikubwa), Allah ametakasika na hao wanaomshirikisha naye.
Yeye Ndiye Allah, Muumbaji, Mtengenezaji, lVfanyaji sura Mwenye majina (sifa) mazuri. Kinamtukuza kila kiiichomo mbinguni na ardhini. Naye ni mwenye nguuu mwenye Hikima. " (59:22-24).AI-Ikhlasi (112:1 - 4)Serra: Yeye niAllah mmoja to Allah ndiye anayestahiki kukusudiwa (na viumbe vyote kwa kumuabudu, kumuomba na(kumtegemea) Hakuzaa wala hakuzaliwa, wales hang anayefanana nave hates. mmoja, (112:1-4)




                   






           

Je! umeipenda hii post?
Ndio            Hapana            Save post

Rajabu Tarehe 2024-05-10 14:53:23 Download PDF     Share On Facebook or Whatsapp Imesomwa mara 897


Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 Kitau cha Fiqh     👉3 Kitabu cha Afya     👉4 kitabu cha Simulizi    

Post zifazofanana:-

Muhtasari wa sifa za waumini
Lengo tarajiwa la Muhtasari huu ni kutuwezesha kuzibaini fika sifa za Waumini zilizoainishwa katika Qur'an, kisha kujipamba nazo ili tuwe waja wema watakaorehemewa na kuridhiwa na Allah (s. Soma Zaidi...

Mtazamo wa uislamu juu ya dini
Kwenye kipengele hichi tutajifunza mitazamo ya kikafiri juu ya dini. Soma Zaidi...

Mgawanyo wa elimu usiokubalika katika uislamu
Mgawanyo wa elimu usiokubalika katika uislamu Ni upi? (EDK form 1: mgawanyo wa elimu usiokubalika katika uislamu) Soma Zaidi...

Ni ipi maana ya Imani katika Uislamu, na ni zipi sifa za muumini.
Katika Uislamu imani inanguzo kuu 6.Pia muumini anatakiwa ajipambe na sifa za waumini. Posti hii itakufundisha kuhusu imani katika Uislamu. Soma Zaidi...

Sifa za waumini zilizotajwa katika surat Al-Furqaan (25:64-76)
Soma Zaidi...

Makundi ya dini za wanaadamu
Kwenye kipengele hichi tutajifunza makundi ya dini za watu. Na makundi hayo ni matatu. Soma Zaidi...

Kuamini siku ya mwisho
Nguzo za imani (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu Soma Zaidi...

Lengo la kuletwa mitume
Mitume wameletwa kuwa Waalimu na viongozi wa kuwafundisha watu Uislamu na kuwaelekeza kuusimamisha Uislamu katika jamii kinadharia na kimatendo kama tunavyojifunza katika Qur-an:“Kwa hakika Tuliwapeleka Mitume wetu kwa dalili wazi wazi na Tukavitere.. Soma Zaidi...

Dalili (Alama) za Qiyama
Soma Zaidi...

Elimu yenye manufaa
Elimu yenye manufaa Ni ipi? (EDK form 1:elimu yenye manufaa) Soma Zaidi...

Shahada mbili
Kwenye mada hii tutajifunza shahada mbili,tafsiri ya shahada kstika maisha ya kila siku. Soma Zaidi...

Lengo la ibada maalumu
Lengo la ibada maalumu (EDK form 3: dhana ya elimu ya uislamu) Soma Zaidi...