Mitume wa uongo
Wafuatao ni baadhi ya wale waliodai utume wakati Mtume (s.
Mitume wa Uongo
Wafuatao ni baadhi ya wale waliodai utume wakati Mtume (s.a.w) akiwepo na baada yake.
Aswad Aus:
Alijitangazia Utume wakati wa Mtume (s.a.w) na aliuawa kwa amri ya Mtume mwenyewe.
Musailama (Al-kadhaab)Alijitangazia Utume wakati wa Abubakari (Khalifa wa kwanza wa Mtume (s.a.w). Waislamu walimpiga vita na kumuua.
Bah au βlla Alijitokeza huko Iran katika karne ya 19 na aliuawa na Waisalmu.
Mirza Gulam Ahmed
Alizaliwa huko India katika kitongoji cha Kadiani katika karne ya 19. Japo alilindwa na serikali ya Kikoloni ya Kiingereza, alipigwa vita na Waislamu kwa maneno na kalamu mpaka uwongo wake ukawa dhahiri kwa waislamu pamoja na kutumia kwake Qur-an hii wanayoifuata Waislamu.
Pia kwa kukosekana mtu aliyekuja na kitabu cha mwongozo kinachofanana na Qurβan angalau kwa mbali, inazidi kutudhibitishia kuwa Mtume Muhammad (s.a.w) ni Mtume wa mwisho na Qurβan ni ujumbe wa mwisho wa Allah (s.w) utakaobakia mpaka mwisho wa ulimwengu.
Maana ya Kuamini Mitume wa Allah (s.w) katika maisha ya kila s iku.
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
π1 Kitau cha Fiqh π2 web hosting π3 Dua za Mitume na Manabii π4 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w) π5 Bongolite - Game zone - Play free game π6 Kitabu cha Afya
Post zinazofanana:
Maana ya uislamu.
Kwenye kipengele hichi titajifunza maana ya uislamu,na maana nyingine tofauti.
Soma Zaidi...Kujiepusha na maringo na majivuno
Maringo, majivuno, majigambo, dharau ni vipengele vya kibri.
Soma Zaidi...Sifa za waumini wa ukweli katika uislamu
Je unamjuwq ni nani muumini, na ni zipi sifa za muumini?
Soma Zaidi...