HTML - somo la 8: Mgawanyiko wa Tag za HTML na kazi zake

Katika somo hili tunakwenda kugawanya tag za HTML, pia nitakwenda kukuletea tag 70 za HTML

TAG NA MGAWANYIKO WAKE:
Tga zinawezakugawanywa katika makundi mengi. Kulingana na wavuti ya w3school  tag zimegawanyika katika makundi haya:-


1.Basic tag hizi ndio tag msngi znazotumika katika andishi kama vile <html>, <head>, <title> <body>< h1> - <h6> <p> <br> 
2.Formating hutumika kwa ajili ya kuweka mipangilio ya maandishi kwenye maandishi
3.Form and input hisi hutumika katika kutengeneza fomu za kuwejaza na kutuma taarifa
4.Frames hizi hutumika katika kutengeneza frame kwa ajili ya kuweka maudhui yaliyo nje ya faili husika
5.Images: hizi ni tag zinazotumika katika picha
6.audio au video tag hizi hutumika katika kuweka video au audio
7.Links hizi ni tag ambazo zinahusika katika kuweka viungo (links)
8.Lists tag hizi huhusika katika kuweka orodha
9.Tables hizi ni tag ambazo huhusika katika kuchora majedwali
10.Style tag hizi hutumika kuweka mbwembwe au stailikwenye maudhui
11.Meta info hutumika kuweka metadata
12.Programming hizi hutumika katika kufanya programming ndani ya html kwa kutumia lugha nyingine kama javascript

Hapo chini nitakuletea orodha ya tag zaidi ya 70.usikose somo la nne ambapo tutakwenda kujifunza namna ambavyo tag hizi zinafanya kazi. Katika somo la nne tutakwenda kupiga code kwa vitendo tuone tag hizo zinabadili vipi muonekano wa faili ;ako.

 


ORODHA YA TAG ZA HTML:
1.<dt> kuataja jina la vitu ama kitu kwenye orodha ya ufafanuzi
2.<em> kuweka msisitizo kwenye neno ama maneno
3.<html> kuanzisha faili la html katika kuandika code
4.<i> kuweka italics kwenye herufi
5.<iframe> kuweka maudhui ya kutoka nje ya faili husika
6.<img> kuweka picha
7.<ins> kuingiza maneno mengine baada ya kufuta 
8.<kbd> kuonyehs keyboard
9.<label> kuandika lebo
10.<li>, <ul> na <ol> katika kuweka orodha ya vitu
11.<link> kuweka maudhui mengine ya  yanayohusiana na faili mabayo yapo nje ya faili husika.
12.<main> huweka maudhui makuu ya document
13.<base> kuweka link msingi ya tovuti
14.<bdi> kumadili muelekeo wa maneno katika kikundi cha maneno
15.<bdo> kumadili uelekeo wa herufi
16.<blockquotes> hutumika katikakunukuu kifungu kikubwa cha maneno
17.<body> hutumika kuweka body kwene faili lako.kutamblisha kuwa maudhui ynaanzia hapo
18.<br> kwaajili ya kukata msitari maneno na kuanza kuandika msitari mwingine
19.<button> hutumika kuweka batani
20.<embed> kuweka maudhui kutoka nje ya website faili husika
21.<figure> na <figcaption> hutumika katiaka kuweka kielelezo kwenye picha
22.<footer>  na <tfooter>kuweka footer sehemu ya chini ya mwisho ya ukurasa wa wavuti
23.&">...

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: HTML Main: ICT File: Download PDF Views 454

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Kitabu cha Afya    👉2 Madrasa kiganjani    👉3 Kitau cha Fiqh    👉4 Simulizi za Hadithi Audio    👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉6 Bongolite - Game zone - Play free game   

Post zinazofanana:

HTML - somo la 9: Jinsi ya kutumia tag za HTML katika uandishi wa maudhui

Katika somo hili utakwenda kuona jinsi ya kuzitumia tag balimbali za html

Soma Zaidi...
HTML - somo la 11: Jinsi ya kuweka style mbalimbali kwenye html

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuweka style mbalimbali kwenye ukurasa wa html

Soma Zaidi...
HTML - somo la 7: Vitu vya kuzingatia unapoandika HTML

Katika somo hili utajifunza sehemu muhimu katika faili la HTML kama vile tag, attribute na element

Soma Zaidi...
HTML somo la 17: Jinsi ya kuunganisha HTML na CSS au JavaScript

Katika somo hili utakwend akujifunz ahatuwa kwa hatuwa jinsi ya Kuunganisha HTML na CSS au JavaScript

Soma Zaidi...
HTML - somo la 14: Hatua za kutengeneza website

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza website hatuwa kwa hatuwa

Soma Zaidi...
HTML - somo la 16: Jinsi ya ku host website bure

Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku host website yako bila malipo

Soma Zaidi...
HTML - somo la 15: Jinsi ya kutengeneza website kwa kutumia HTML

Katika somo hili tutakwenda kutengeneza website yetu kutoka mwanzo hadi mwisho

Soma Zaidi...
HTML - somo la 13: Jinsi ya kugawa ukurasa wa HTML

Katika somo hili utajifunza jinsi ya kugawanya ukurasa wa HTML katika column

Soma Zaidi...
HTML- somo la 2: Kazi za HTML, code na tag kwenye website.

Katika somo somo hili utajifunza maana ya code, tag na mpangilio wa faili la HTML

Soma Zaidi...
Jinsi ya kutengeneza cheti kwa kutumia HTML

Katika post hii utakwenda kujifunz ajinsi ya kutengeneza cheti kwa kutumia html na css.

Soma Zaidi...