HTML - somo la 9: Jinsi ya kutumia tag za HTML katika uandishi wa maudhui
Katika somo hili utakwenda kuona jinsi ya kuzitumia tag balimbali za html
UFAFANUZI WA TAG ZILIZOTAJWA KATIKA SOMO LA TATU.
Katika somo lililotangulia tumejifunza code tag mbalimbali, sasa katika somo hili tunakwenda kuzifanyia kazitag hizo. Kuna nyingine hatutazigusa katika somo hili. Hivyo taga nyinginezo ambazo hazitatumika katika somo hili tutaziona katika masomo yajayo.
Kwa wale wa simu Endelea kutumia App ya TrebEdit na kwa wale wa kompyuta tumia text Editor ulio nayo kama notepad, notepad plus, sublimetext na nyinginezo. Katika video hapo nimetumia text Editor ya phpstorm ili kuokoa muda zaidi.
Endelea kuzifanyia mazoezi tag hizi. Somo linalofata tutaanglia attributes na namna zinavyoweza kufanya kazi katika uandishi na utengenezaji wa website.
<!DOCTYPE html>
<html lang="en">
<head>
<title>Kicha cha faili</title>
</head>
<body> <!-- <body> inaanza hapa -->
<!-- BASIC TAG ------>
<h1>Heading 1</h1>
<h2>heading 2</h2>
<h3>heading 3</h3>
<h4>heading 4</h4>
<h5>heading5</h5>
<h6>heading 6</h6>
<p>paragraph ya kwanza ya maudhui yako
<br>hapa nimekata msitari<br>nimeanza mpya
<br><br><br>Nimeruka nafasi 3
</p>
<hr>nimepiga msitari,<hr>
<BR><BR><BR>
<!-- FORMATIN TAG --->
<abbr title="TAasisis ya Kupambana na Kuzuia Rushwa"> TAKUKURU </abbr>
<BR><BR><BR>
<!-- ANUANI-->
<address>
IT MANAGER<BR>
BONGOCLASS.COM<BR>
P.O.BOX 30<br>
PANGANI
</address>
<BR><BR><BR>
<!-- BOLD -->
fano wa ku<B>bold</B>maandishi
<BR><BR><BR>
<!-- badili mwelekeo wa maandishi -->
<p>www.bongoclass.com</p>
<bdo dir="rtl">www.bongoclass.com</bdo>
<BR><BR><BR>
<!-- kunukuu kifungu cha habari -->
<p>Mwalimu Nyerere alisema</p>
<blockquote>
Madam Speaker and, I think I may say, Comrade President and Comrade Vice President, ladies
and gentlemen. I have told you already how I felt when you asked me to come and talk here. And
then I got the message that you were coming.
</blockquote>
<!-- kunukuu kifungu kidogo -->
Mwalimu alisema <q>Madam Speaker and, I think I may say, Comrade President and Comrade Vice President, ladies
and gentlemen.</q>
<BR><BR><BR>
<!-- maandishi yaliyokatwa -->
<p>maandih haya <del>yamekatwa</del> pia haya nayo <s>yamekatwa</s> na haya <ins>yameingizwa</ins>
na haya <u>yapo underline, yamepigiwa msitari</u> na haya <mark>yamechaguliwa (highlite)</mark>
na haya <strong>yamekolezwa</strong>na haya <em>yamewekewa msisitizo</em> na haya yamefanyiwa <i>italics</i>
na haya ni <small>madogo</small> yaani small</p>
<BR><BR><BR>
<!-- progress -->
<progress>32</progress><br>
<label>Inapakuwa</label>
<progress id="file" value="70" max="100">90%</progress>
<BR><BR><BR>
<!-- kutoa muonekano kama unaouona kwenye code-->
<pre>
sungura afahamika ujanja kajijazia
wenzake ana w...
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 kitabu cha Simulizi 👉2 Madrasa kiganjani 👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina 👉4 ai web app 👉5 Kitabu cha Afya 👉6 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)
Post zinazofanana:
HATML - somo la 4: Jinsi ya kutumia tag za html
Katka somo hi utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia tag za html ili kupangilia muonekano wa maudhui
Soma Zaidi...HTML - somo la 14: Hatua za kutengeneza website
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza website hatuwa kwa hatuwa
Soma Zaidi...Jinsi ya Kutuma Faili Bila Intaneti
Kutuma faili bila kutumia intaneti ni njia rahisi ya kuhamisha picha, video, nyaraka, programu au aina nyingine za taarifa kutoka kifaa kimoja kwenda kingine bila kutumia data ya simu au Wi-Fi. Watu wengi wanafikiri kuwa lazima uwe na intaneti ili kutuma faili, lakini ukweli ni kwamba kuna njia mbalimbali zinazokuwezesha kufanya hivyo kwa kutumia teknolojia zilizopo kwenye simu, kompyuta au vifaa vingine. Njia hizi zinaweza kusaidia sana pale ambapo hakuna mtandao, data imeisha, au unataka kutuma faili kwa haraka bila kusubiri kupakua kupitia huduma za mtandaoni. Katika makala hii tutajifunza njia mbalimbali za kutuma faili bila intaneti, jinsi zinavyofanya kazi, faida zake, changamoto zake, na mambo muhimu ya kuzingatia ili kuhakikisha faili zako zinatumwa salama.
Soma Zaidi...Jinsi ya Kujua Kama Wi-Fi Ni Salama
Wi-Fi imekuwa sehemu muhimu ya maisha yetu ya kila siku. Tunaitumia kuingia kwenye mitandao ya kijamii, kutuma ujumbe, kufanya biashara mtandaoni, kusoma, kutazama video na hata kufanya malipo. Lakini pamoja na faida zake nyingi, Wi-Fi inaweza kuwa hatari ikiwa haijalindwa vizuri. Mtandao wa Wi-Fi usio salama unaweza kuruhusu watu wasiohusika kuona taarifa zako binafsi, kuiba nywila zako au kutumia intaneti yako bila ruhusa. Kujua kama Wi-Fi ni salama ni jambo muhimu kwa kila mtu anayemiliki simu, kompyuta au kifaa kingine kinachounganishwa na intaneti. Makala hii inaeleza kwa lugha rahisi jinsi ya kutambua Wi-Fi salama, dalili za Wi-Fi hatari, hatua za kulinda mtandao wako na mambo muhimu ya kuzingatia ili kutumia intaneti kwa usalama
Soma Zaidi...Jinsi ya Kuhamisha Data Kati ya Simu Mbili
Kubadilisha simu mpya ni jambo la kufurahisha, lakini watu wengi hupata changamoto wanapofikiria jinsi ya kuhamisha taarifa zao kutoka simu ya zamani kwenda simu mpya. Data muhimu kama picha, video, namba za simu, ujumbe, nyaraka, programu na mipangilio inaweza kuonekana kuwa ngumu kuhamisha, hasa kwa mtu ambaye hajawahi kufanya zoezi hilo. Habari njema ni kwamba leo kuna njia rahisi na salama za kuhamisha data kati ya simu mbili bila kupoteza taarifa muhimu. Unaweza kutumia intaneti, huduma za kuhifadhi taarifa mtandaoni, kebo maalumu, Bluetooth au programu zinazosaidia kufanya uhamishaji huo kwa haraka. Makala hii inaelezea hatua kwa hatua jinsi ya kuhamisha data kati ya simu mbili kwa njia rahisi ambayo kila mtu anaweza kuelewa, hata kama hana elimu kubwa ya teknolojia.
Soma Zaidi...Jinsi ya kutengeneza cheti kwa kutumia HTML
Katika post hii utakwenda kujifunz ajinsi ya kutengeneza cheti kwa kutumia html na css.
Soma Zaidi...