Katika somo hili utajifunza Kuweka picha Kuweka rangi Kuweka linki Kupangilia position na alignment ya maandishi Kuongeza ukubwa wa herufi Kukoment
Karibu kwa mara nyingine tena katika mafunzo yetu ya HTML na namna ya kutengeneza website (tovuti) na blog. Katika somo lililopita tuliona tag 25 muhimu zinazotumika katika kuandika document na ikawa na muonekano mzuri katika blog ama tovuti yako. Hatika somo hili tutakwenda kuona namna ya kuweka staili kwenye document yako.
Somo hili litakwenda kuangalia yafuatayo:-
Hakikisha umeshapitia masomo yetu manne yaliyotangulia kabla ya kuanza somo hili, hii itakupa uwanja mpana sana wa kuelewa zaidi. Kumbuka masomo haya yanaendeshwa kwa kutumia App inayotambulika kama TrebEdit, link yake utaipata kwenye somo la kwanza ama ingia playstore. Kupata masomo manne yaliyotangulia bofya link za hapo chini.
CODE ZITAKAZOTUMIKA KWENYE SOMO:
Kopi code hizi kisha pestu kwenye faili utakalolipatina staili.html. Maelezo zaidi utayapata hapo chini baada ya hizi code:-
<!DOCTYPE html>
<html lang="en">
<head>
<meta charset="UTF-8">
<meta name="viewport" content="width=device-width, initial-scale=1, shrink-to-fit=no">
<title>kuweka staili</title>
</head>
<body>
<h1>kuweka picha</h1>
<img src="image/P2.JPEG" WIDTH="100%">
<BR></BR>
<H2>KUWEKA RANGI</H2>
<p style="color:red"> mimi mwekundu</p>
<p style="color:green"> mimi mkijani</p>
<H1>KUWEKA LINK</H1>
<a href="tag.html">tag 25, bofya hapa</a><BR></BR>
<a href="index.html">go to home page</a>
<br><br>
<H1>
Kuongeza ukubwa wa maneno</H1>
<b style="font-size:100">mimi niko kawaida 100%</b>
<br>
<b style="font-size:200%">Ukubwa wa 200%</b>
<br>
<b style="font-size:300%">Ukubwa wa 300%</b>
<br>
<b style="font-size:50%">ukubwa wa 50%</b>
<BR><BR></BR></BR>
<p style="text-align:center;">Nipo kati</p>
<br>
<p style="text-align:left;">Nipo kushoto</p>
<br>
<p style="text-align:right;">Nipo kulia</p>
<br>
<p style="text-align:justify;">Nipo Nimejaa</p>
<br><br>
<h1>KUKOMENT</H1>
<!--- WEKA KOMENT HAPA -->
</body>
</html>
MAANDALIZI HA SOMO:
Kama tayari App ya Treb Edit unayo:
UFAFANUZI WA CODE ZILIZOTUMIKA:
Kuweka picha kwenye faili la html tunatumiatag hii <img kisha unaweka source yaani chanzo ambacho hiyopicha itakuwepo. Utafanya hivi kwa kutumia src=” ” ndani ya hizo fungasemi na funguwa semiutaweka jina la faili au picha na jina la folda lilipo kwa mfano picha niliotumiamimi itaitwa P2 na ipokatika fomati ya jpeg, hivyo inasomoka">...
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza website hatuwa kwa hatuwa
Soma Zaidi...Katika somo hili nitakuletea orodhabya tag 25 za html ambazo hugumiwa katikabuandishi.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kutengeneza website yetu kutoka mwanzo hadi mwisho
Soma Zaidi...Katka somo hi utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia tag za html ili kupangilia muonekano wa maudhui
Soma Zaidi...Katika somo hili tunakwenda kugawanya tag za HTML, pia nitakwenda kukuletea tag 70 za HTML
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kijifunza kuhusu HTML attributes na jinsi ambavyo zinafanya kazi
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kuona jinsi ya kuzitumia tag balimbali za html
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kugawanya ukurasa wa HTML katika column
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuweka menyu kwenye faili la html na kuweka rangi ya background. Pia utajifunza kufanya ukurasa uwe responsive yaani uendani na ukubwa wa kifaa.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunz ahatuwa kwa hatuwa jinsi ya Kuunganisha HTML na CSS au JavaScript
Soma Zaidi...