Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku host website yako bila malipo
JINSI YA KUHOST PROJECT YAKO YA TOVUTI.
Baada ya kumaliza kutengeneza project yako saa utahitaji iwe live, iweze kuonekana mtandaoni, watu waweze kuipitia, kusoma na kuhabnarika. Huku ndiko kunaitwa kuhost. Kwa faili la HTML unaweza kulihost bure. Yapo makampuni mengi ambayo utaweza kuhost html bure kabisa kwa mfano:-
1.Infinityfree
2.00webhosting
3.Digitalocean
4.Google cloud
5.Firebase
Katika post hii nitakupa hatuwa kwa hatuwa kuhost project yako ya html. Tafadhali angalia video hii kuona jinsi utakavyofanya hatuwa kwa hatuwa. https://www.youtube.com/watch?v=JyHtRDK7QUI Hapa utajifunza kuhost kwa kutumia infinityfree. Katika masomo yetu mengine tutajifunza kuhost kwa kutumia mitandao mingine iliyotajwa hapo juu.
Katika Post hii nitakufundisha tu jinsi ya kuhost website kwenye mtandao wa infinityfree hivyo twende pamoja hadi mwiho. Pia unaweza kuangalia kwa video jinsi ya kuhost kwenye lin hii
Kuhost kwenye infinityfree
Utahitajika kuwa na email amabo ni active maana watakutumia confirmation link ili uweze kuthibitisha usajili wako. Baada ya kujisajili utalogin kwenye client area.
<!DOCTYPE html>
<html lang="en">
<head>
<meta name="viewport" content="width=device-width, initial-scale=1">
<meta charset=">...
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuweka style mbalimbali kwenye ukurasa wa html
Soma Zaidi...Katika somo somo hili utajifunza maana ya code, tag na mpangilio wa faili la HTML
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza Kuweka picha Kuweka rangi Kuweka linki Kupangilia position na alignment ya maandishi Kuongeza ukubwa wa herufi Kukoment
Soma Zaidi...Katika somo hili nitakuletea orodhabya tag 25 za html ambazo hugumiwa katikabuandishi.
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kugawanya ukurasa wa HTML katika column
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kuweka menyu kwenye faili la html na kuweka rangi ya background. Pia utajifunza kufanya ukurasa uwe responsive yaani uendani na ukubwa wa kifaa.
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunz ajinsi ya kutengeneza cheti kwa kutumia html na css.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza website hatuwa kwa hatuwa
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza maana ya HTML na jinsi inavyofanya kazi
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kutengeneza website yetu kutoka mwanzo hadi mwisho
Soma Zaidi...