Katika somo hili nitakuletea orodhabya tag 25 za html ambazo hugumiwa katikabuandishi.
Karibu tena kwenye mafunzo ya HTML. Na hili ni somo la tatu. Kama bado hujalipata somo la kwanza na la pili, tumia link hapo chini kufunguwa masomo hayo. Katika somo hili la tatu tutakwenda kuelezea baadhi ya tag za HTML ambazo hutumika mara nyingi katika kuandika makala.
Katika somo lililopita tuliona maana ya tag, na namna ambavyo tag hufanya kazi. Tag zipo za kufungua ambazo huanzwa na alama hii < na zipo tag za kufunga ambazo huanzwa na alama hizi </. pia katika somo lililotangulia tuliona maana ya element katika html. Element tuliona kuwa ni mkusanyiko wa tag na maudhui yaliyo ndani ya tag kwa mfano <p> hello </p> katika code hii kuna tag ya kufungua ambayo ni <p> na kuna maudhui ambayo ni “hello” pia kuna tag ya kufunga ambayo ni </p> kwa pamoja tunapata element.
Tag zipo nyingi sana ambazo tunazitumia katika uandishi. Kama unavyotumia microsoft katika kuandika basi kula unachokifanya pale kuna tag yake. Kwa mfano unapopigia msitari, kuna tag ya kufanya hivyo. N.k
TAG 25 MUHIMU KATIKA UANDISHI
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu
Umeionaje Makala hii.. ?
Katika somo hili utakwend akujifunz ahatuwa kwa hatuwa jinsi ya Kuunganisha HTML na CSS au JavaScript
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kujifunz ajinsi ya kutengeneza cheti kwa kutumia html na css.
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kutengeneza website yetu kutoka mwanzo hadi mwisho
Soma Zaidi...Katika somo somo hili utajifunza maana ya code, tag na mpangilio wa faili la HTML
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza kuhusu sehemu kuu za faili la HTML
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kijifunza kuhusu HTML attributes na jinsi ambavyo zinafanya kazi
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kuona jinsi ya kuzitumia tag balimbali za html
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku host website yako bila malipo
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuweka style mbalimbali kwenye ukurasa wa html
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza Kuweka picha Kuweka rangi Kuweka linki Kupangilia position na alignment ya maandishi Kuongeza ukubwa wa herufi Kukoment
Soma Zaidi...