Katika somo hili utajifunza kuhusu sehemu kuu za faili la HTML
SEHEMU KUU ZA FAILI LA HTML
<head>, <header> na <footer>
Katika website sehemu hizi zina kazi ya kuweza kutambulisha zaidi website na mahusiano kati ya ukurasa na ukurasa. Sehemu hizi ni muhimu kwa SEO na wanaotaka kuichunguza blog ama website. Katika somo hili tutakwenda kuangalia sehemu hizi, na jinsi ya kuzitengeneza ama kuziwekea maudhui.
1.<head>
Shemehu hii inakaa taarifa muhimu kuhusu ukurasa. Taarifa hizi unawezakuziita metadata. Kwa mfano hapa unaweza kuweka taarifa hizi:-
A.Jina la faili kulingana na maudhui
B.Jina la mwandishi
C.Muhtasari kuhusu maudui
D.Character set
E.Viungo vingine muhimu kama link za style za nje
F.Taarifa kuhusu ukubwa wa kifaa kitakachofunguwa faili husika.
G.Icon n.k
Kwa mfano unaweza kuweka taarifa hizo
<head>
<meta charset="utf-8">
<meta name="viewport" content="width=device-width, initial-scale=1, shrink-to-fit=no">
<meta name="author" content="jina la mwandishi">
<meta name="description" content="weka muhtasari hapa">
<title>weka Title hapa</title>
</head>
2.<header> hii ni sehemu ya juu kabisa ama ya mwanzo. Sehemu hii ndio ambapo menu hukaa. Sehemu hii ndio inatakiwa ikae mwanza tu ndani ya tag ya <body> . tag ya <menu> inatakiwa ikae hapa ndani ya <header>. kwa ufupi <header> ni kama section ambazo hubeba tag nyingine ndani ake. Kama tulivyoona matumizi ya <div> katika masomo yaliyotangulia.
Kuweka menu tunatumia tag ya <menu> tag hii tutaiweka kwenye section ya <header> tunaweza kutumia style ili kubresha muonekano wa menu yetu. Tunaweza kutumia batanina link ili kuunganisha ukurasa mmoja na mwingine. Kwa mfano:-
<html>
<style>
menu {background-color: black;}
a {color: red;
text-decoration: none;
}
button {font-size: x-large;}
</style>
<heade>
<menu>
<button><a href="#">PHP</a></button>
&n">...
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowJe umeipenda post hii ?
Katika somo hili utajifunza jinsi ya kuweka style mbalimbali kwenye ukurasa wa html
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza Kuweka picha Kuweka rangi Kuweka linki Kupangilia position na alignment ya maandishi Kuongeza ukubwa wa herufi Kukoment
Soma Zaidi...Katika somo hili tutakwenda kutengeneza website yetu kutoka mwanzo hadi mwisho
Soma Zaidi...Katika somo somo hili utajifunza maana ya code, tag na mpangilio wa faili la HTML
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kuona jinsi ya kuzitumia tag balimbali za html
Soma Zaidi...Katka somo hi utakwenda kujifunza jinsi ya kutumia tag za html ili kupangilia muonekano wa maudhui
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya kutengeneza website hatuwa kwa hatuwa
Soma Zaidi...Katika somo hili utajifunza maana ya HTML na jinsi inavyofanya kazi
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwend akujifunz ahatuwa kwa hatuwa jinsi ya Kuunganisha HTML na CSS au JavaScript
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza jinsi ya ku host website yako bila malipo
Soma Zaidi...