Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Hijja na Umrah.
Maana ya Hijja
Kilugha: Kuzuru au kutembelea mahali kwa lengo maalum.
Kisheria: Ni kuizuru Kaabah, nyumba tukufu ya Makkah katika mwezi na siku
maalum kwa kuzingatia masharti na nguzo zote za Hija.
Maana ya Umrah
Kilugha: Ni kutembelea.
Kisheria: Ni kutembelea nyumba tukufu ya Kaabah katika mwezi na siku yeyote
kwa kuzingatia sharti na nguzo za Umrah.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
- Riba ni kipato chochote kile cha ziada kutokana na mkopo au mtaji bila kushiriki katika faida au hasara.
Soma Zaidi...Post hii itakwenda kukufundisha hukumu ya manii kuwa ni twahara ama ni najis
Soma Zaidi...Katika uislamu imekatazwa kutamani kufa hata kama utakuwa ni mtu muovu sana ama mchamungu sana.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukupa sifa za imamu wa msikitini anayepasa kuswalisha swala ya jamii.
Soma Zaidi...