Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
|
Na. |
Hijjah |
Umrah |
|
1. |
Hijjah ni faradh kwa muislamu mwenye uwezo mara moja kwa maisha yake yote. |
Umrah ni Sunnah iliyokokotezwa. |
|
2. |
Hijjah ina muda maalum, hufanywa katika mwezi na siku maalum. |
Umrah haina muda maalum, hufanywa mwezi na siku yeyote. |
|
3. |
Hijjah huchukua muda mrefu na hufanyikia ndani na nje ya Makka – Muzdalifa, Arafa na Mina. |
Umrah huchukua muda mfupi na hufanyikia ndani ya Makka kwa Kutufu, Kusai na Kunyoa tu. |
|
4. |
Ibada ya Hijjah ina matendo mengi |
Ibada ya Umrah ina matendo machache. |
Umeionaje Makala hii.. ?
Nguzo za imani, maana ya sadaqat (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...(a) UgirikiTunajifunza katika historia ya Ulimwengu kuwa jamii ya Wagiriki ilikuwa miongoni mwa jamii zilizoanza kustarabika.
Soma Zaidi...