Post hii itakufundisha kuhusu swala ya haja na jisi ya kuiswali.
9. Swala ya Kukidhi Haja
Muislamu anatakiwa amtegemee Allah (s.w) katika kila hali. Kila anapokuwa na tatizo au anapohitajia jambo lolote, anatakiwa amuelekee Allah (s.w) na aombe msaada kutoka kwake.
Abdur-Raham ibn Awfi (r.a) amesimulia kuwa Mtume (s.a.w) amesema: Yeyote atakayekuwa na haja ambayo anataka itoshelezwe na Allah (s.w) au na mwanaadamu na atawadhe inavyostahiki, kisha aswali (rakaa mbili) amhimidi Allah na kumtakia Mtume Rehma na amani kisha aseme:
“Hapana Mola (apasaye kuabudiwa) ila Mwenyezi Mungu. Mwingi wa huruma, Mkarimu. Utukufu ni wa Allah, Mfalme wa Arshi Tukufu, Shukurani zote ni za Mwenyezi Mungu Mola (Bwana) wa walimwengu.
Nakuomba unr'laalie njia ya kupata rehtna Zako na sababu ya kupata msanwha wako: Ninaomba hifadhi Yako kutokuna na kila oru. Usiniache na kosa (dhanrbi) lnlote bila vu kunisatnehe na (usiniache na) na wasi wasi wowote bila ra kuniondolea, na usiniache na haft' vovore venue radhi Zako bila ya kunikidhia. Ewe Mwingi wa Rehnui Mrehentevu ". (Tirmidh, Ibn Majah).
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Hapa utajifunza jinsi ya kuozesha hatuwa kwa hatuwa. Pia utajifunza masharti ya kuoa na masharti ya kuolewa.
Soma Zaidi...Nguzo za uislamu (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukugundisha jinsi ya kutawadha hatuwa kwa hatuwa.
Soma Zaidi...Post hii inakwenda kukufundisha kuhusu swala ya Istikhara
Soma Zaidi...Zaka, kilugha ni kukua; kubariki na kuzidi kheri.
Soma Zaidi...