Haki na uadilifu katika uislamu (EDK form 3: Dhana ya elimu ya uislamu)
Haki za Binaadamu kwa Ujumla (Basic Human Rights).
Uislamu umezingatia, kulinda na kusimamia haki za msingi za kibinaadamu bila kujali tofauti zao. Haki hizo ni pamoja na;
Haki za kuishi (maisha).
Rejea Quran (5:32), (6:151) na (17:33).
Haki ya Usalama wa Maisha.
Rejea Quran (5:32).
Haki ya kulinda na kuheshimu hadhi na usafi wa mwanamke.
Rejea Quran (17:32) na (24:2).
Haki ya kupata mahitaji ya lazima ya maisha.
Rejea Quran (70:24-25).
Haki ya Uadilifu na Usawa katika Hukumu (Righ to justice).
Rejea Quran (5:8), (49:13) na (4:135).
Haki ya Uhuru (kila mtu kuwa huru).
Uislamu umezingatia kila mtu kuwa huru kifikra na kutomilikiwa kama bidhaa ya baishara.
Jifunze zaidi, na wasiliana nasi ukiwa na App yetu. Bofya link hapo chini kuweza kuipakua.
Download NowUmeionaje Makala hii.. ?
Hapa utajifunza taratibu za kumkafini maiti wa kiislamu. Yaani kushona sanda yake na kumvisha.
Soma Zaidi...Katika somo hili utakwenda kujifunza maana ya Twahara Kwa mujibu wa mafundisho ya Uislamu
Soma Zaidi...(iii) Adhabu ya UzinifuKatika Sheria ya Kiislamu mtu haadhibiwi mpaka atende kwa uwazi matendo yenye kuvuruga utaratibu na amani ya jamii.
Soma Zaidi...Katika post hii utakwenda kuzijuwa aina za twahara katika uislamu. Utaviona vigawanyo vya twahara kulingana na maulamaa wa Fiqh
Soma Zaidi...Nguzo za Imani, tofauti kati ya sadaqat na zakat (EDK form 2: dhana ya elimu ya uislamu)
Soma Zaidi...Hapa utajifunza watu ambao ni halali kuwaoa na wale ambao ni haramu kuwaoa.
Soma Zaidi...MAANA YA ZAKA NA SADAKA KULUNGA NA KISHERIA PAMOJA NA TOFAUTI ZAO.
Soma Zaidi...