Hadithi Ya 41: Hatoamini Mmoja Wenu Mpaka Mapenzi Yake Yatakapomili (yatakapoendana) Na Yale Niliyokuja Nayo
Hadithi Ya 41: Hatoamini Mmoja Wenu Mpaka Mapenzi Yake Yatakapomili (yatakapoendana) Na Yale Niliyokuja Nayo
الحديث الحادي والأربعون
"لا يؤمن أحدكم حتى يكون هواه تبعا لما جئت به"
عَنْ أَبِي مُحَمَّدٍ عَبْدِ اللَّهِ بِنْ عَمْرُو بِنْ العَاصِ رَضِيَ اللَّهُ عَنْهُمَا قَالَ : قَالَ رَسُولُ اللَّهِ صلى الله عليه وآله وسلم :((لا يُؤْمِنُ أَحَدُكُمْ حَتَّى يَكُونَ هَوَاهُ تَبَعَاً لِمَا جِئْتُ بِهِ ))
حَدِيثٌ حَسَنٌ صَحِيحٌ، رَوَيْنَاهُ فِي كِتَابِ "الْحُجَّةِ بِإِسْنَادٍ صَحِيحٍ.
HADITHI YA 41 HATOAMINI MMOJA WENU MPAKA MAPENZI YAKE YATAKAPOMILI (YATAKAPOENDANA) NA YALE NILIYOKUJA NAYO
Kutoka kwa Abu Muhammad Abdullah Ibn 'Amr Bin Al-'As رضي الله عنه ambae alisema : Mtume صلى الله عليه وسلم kasema:
Hatokua kaamini (kikwelikweli) mmoja wenu mpaka mapenzi yake yatakapomili (yatakapotii au kuwafikiana) kwenye yale niliyoyaleta (mafundisho).
Hadithi Hasan iliyotoka katika kitabu “Al-Hujjah” ikiwa na mtiriko mzuri wa mapokezi
Umeionaje Makala hii.. ?
Share On:
👉1 Simulizi za Hadithi Audio 👉2 ai web app 👉3 web hosting 👉4 Dua za Mitume na Manabii 👉5 Madrasa kiganjani 👉6 Bongolite - Game zone - Play free game
Post zinazofanana:
DUA na Adhkar kutoka kwenye quran
hii ni orodha ya dua mbalimbali kutoka kwenye quran. Unaweza kuzitumia dua hizi kujipendekeza kwa Allah na kupata msamaha, neema na mengineyo.
Soma Zaidi...Faida za ktoa sadaka.
Katika somo hili tutakwenda kujifunza faida za kutoa sadaka kwa mujibu wa kauli za Mtume rehma na amani ziwe juu yake.
Soma Zaidi...MAANA YA HADITHI SUNNAH
Maana ya SunnahKilugha: Neno sunnah katika lugha ya Kiarabu lina maana ya mwenendo au mila.
Soma Zaidi...