SURA YA KWANZA

Baada ya kutulia vizuri unaanza kukumbuka umefikaje hapa kwenye misitu. Pia unakumbuka mara ya mwisho mtu usiyemjuwa alikupiga na kitu kizito. Jambo moja bado hujajua nini chanzo cha yote haya. Unaanza kujiita jina lako kama ishara ya kuwa ni mzima. Unaitwa..

Baraka     Neema