SURA YA KWANZA
Kutoka kwenye usingizi mzito unaamka, Haujui nini kimetokea (uenda ukawa umepoteza kumbukumba). Unashika kichwa unahisi
kuna damu zinatoka puanin na kichwa kinauma sana. Nini kime tokea? Unajiuliza bila ya majibu. Je! kuna chochote unakumbuka?
Hapana Ndio