JIFUNZE KUFUNGUA EMAIL KWA USAHIHI

JINSI YA KUFUNGUA EMAIL KWA AJIRI YA SHUGHULI MBALIMBALI

Hapa nitaeleze kiundani na kila kitu kuhusu kufungua email ambayo kupitia hiyo unaweza kufanya mambo mengi sana mtandao bila shaka .  Watu wengi hapa bongo wanajua njia ya mawasiliano ni kwa njia ya whatsapp tu, Lakini si kweli kuna njia njia nyingi sana ambazo unaweza kuzitumia kuwasiliana na mtu kwa njia ya mtandao endapo tu unakifurushi cha Internet katika simu yako 

Ukija kwa upande wa utumaji wa nyaraka flani maalum mimi binaafsi naaweza pendekeza watu watumie emails kwani ni njia yenye usalama zaidi na inatunza kumbukumbu za mda mrefu sana , hasara za whatsapp unaweza futa kwa bahati mbaya lakini email sio rahisi kufutika labla uamue mwenyewe kufuta nyaraka fulani . ila kama haujafuta zitabaki milele yote ndani ya email na uzuli wake hata ukipoteza kifaa chako unaweza tumia kifaa kingine bila shida yoyote popote pale duniani.

                               

Story zisiwe nying sana tujifunze hatua kwa hatua  jinsi ya kutengeneza emails kwahatua chache tu 


 

1.  Hatua ya kwanza kabisa katika kufungua emails ni kufungu google search engine na utaandika maneno "GOOGLE ACCOUNT" na uta click enter  kama unatumia pc au kama unatumia simu utaruhusu ili simu search.


 

2.   Utachagua hilo neno hapo limeandikwa "Create your Google Account" harafu itakupeleka ukurasa unaofuata.


 

3.    Utajaza taarifa zako kwenye nafasi kana inavoonekana

 


 

3.Kwa mda  mwingine unaweza ukajaza taarifa lakini zikagoma  hapo walipo andika username

hapo unataiwa kuaandika jina la pekee ambalo halijawahintumika na mtu yeyote.

kisha uta bofya NEXT



 

 

 

5. Kwa mfano kama hapo iyo password  niliyo weka hapo juu 12345678 imegoma kwa sababu ni ya kawaida sana unatakiwa kuweka password ambayo sio rahisi mtu kuotea

 



 

6.Hiyo password hapo sio lahisi mtu kuotea na ukibonyeza batani ya NEXT unaweza kuendelea mbele


 


 

7. Baada ya kuendelea  utatakiwa kuweka Namba ya simu ambayo itakusadia endapo itatokea siku moja umesahau password

utaweza kurejesha au kubadili kiurahisi sana 

Utatumiwa code za kuthibitisha kama wewe ndio mmiliki wa hiyo email



 

8. Hapa inaonesha kwamba siyo kira namba ya simu unayo iweka kuthibitisha kama ni wewe inafaa , kuna baadhi ya namba huwa zinagoma mfano namba kama za mtandao wa halotel mara nyingi huwa zina goma ila siyo mara zote na namba amabzo zimaewahi kumika kufungulia google account au email zaidi ya mara moja

 





 

9.Ukiweka namba inayo kubalika na google basi moja kwa moja kuna code utatumiwa kupitia namba yako ulio iweka na hakikisha ipo hewani ili uweze kupata code za kuthibisha kama ni wewe huwa inakuja SMS ya google kabla ya namba huwa inaanza na herufi G kisha namba, wewe unatakiwa kuandika namba peke yake unaachna na herufi G  kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini

 



 

10.   Unaeedelea na  kujaza taarifa zingine kama tarehe ya kuzaliwa 

ZINGATIA:     Hakikisha unajaza taarifa sahihi kwani husaidia ku huwisha password endapo utasahau password au nenosiri lako.

 


 

11.Ukisha maliza kujaza  hapo juu taaarifa zako kama inavo onekana hapo juu utabonyeza hapo palipo andikwa Yes, I`m In

 













 

12.     Hapo utakuwa mekamilisha kusajili google account yako au email address na itakuwa tayari kwa matumizi


 

 

Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetu

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

Nzuri            Mbaya            Save
Author: Rajabu image Tarehe: 1970-01-01 03:33:44 Topic: Teknolojia Main: Jifunze File: Download PDF Views 3148

Share On:

Facebook WhatsApp
Sponsored links
👉1 Simulizi za Hadithi Audio    👉2 Bongolite - Game zone - Play free game    👉3 Kitau cha Fiqh    👉4 Dua za Mitume na Manabii    👉5 Sira ya Mtume Muhammad (s.a.w)    👉6 Madrasa kiganjani   

Post zinazofanana:

JE NITUMIE SIMU YANGU WAKATI INACHAJI?

Watu wengi wamekuwa wakijiuliza swali hili.

Soma Zaidi...
EPUKA MALWARE (VIRUSI, WORM NA TROJAN UKIWA MTANDAONI)

Malware ni neno pana na watu wengi si wenye kulitumia.

Soma Zaidi...
Kurudisha mafaili na data zilizopotea

Posti hii inakwenda kukupa elimu ya kurudisha mafaili na data zilizopotea

Soma Zaidi...
Chanzo

Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..

Soma Zaidi...
Kurudisha data zilizo potea

Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..

Soma Zaidi...
Simu au Kompyuta inastak? (inasumbua)

Jifunze matumizi ya simu yako na namna ya kutatua matatizo mbalimbali kwenye simu na kompyuta..

Soma Zaidi...
Yanayoathiri betri yako

Somo hili linakwenda kukuletea mambo yanayo athiri betri lako

Soma Zaidi...
Kulinda account yako ya Facebook dhidi ya waharifu wa kimtandao

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kulinda account yako ya Facebook dhidi ya waharifu wa kimtandao

Soma Zaidi...