Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu namna ya kutuma sms ndefu
JINSI YA KUTUMA SMS NDEFUInatokea wakatifulani simu yako ya smart phone inagoma kutuma sms ndefu na inakwambia "sms converted to multmedia". Hili hutokea sana pale unapokopi sms ndefu kutoka whatsap, fb n.k na kuja kuipest katika uwanja wa meseji za kawaida. Punde badala ya kuipest inabadilishwa kuwa multmedia.Tatizo hili linaboa zaidi pale unapoipenda text kutoka kwenye mitandao ya kijamii kama whatsap na unataka kushea kwa ambaye si mtumiaji wa mitandao hiyo hivyo hutokea pindi unapoipest tu katika uwanja wa sms za kawaida inakuandikaia sms converted to multmedia na hapa inashindwa kutuma text hiyo kwa njia za kawaida.vinsi ya kutatuwa tatizo hili.zipo njia kadhaa za kulifaniskisha hili ila njia ya urahisi na haraka zaidi ni kutuia application za kutuma sms ndefu kwa mfano BIG SMS. fuata hatua zifuatazo kuweza kutatua tatizo hili
1.nenda playstore ukadaunlod big sms au HYPERLINK "https://play.google.com/store/apps/details?id=skezza.main" bofya hapa.
2.install big sms
3.open
4.ingiza sms yako na namba ya mpokeaji
5.tuma.
Jiunge nasi WhatsApp kupata update zetuUmeionaje Makala hii.. ?
Post hii inakwenda kukufundisha kwa ufupi jinsi ya kuifanya blog yako, ama post za kwenye blog yako ziweze kupatikana kwenye search Engine kama Google, Bong, yandex na yahoo.
Soma Zaidi...Posti hii inakwenda kukupa elimu kuhusu utunzaji wa betri la kifaa chako
Soma Zaidi...Kupata kitabu hiki download faili la PDF hapo chini na usome bila ya internet.
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu sabau za simu kusumbua mtandao
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu maana ya legacy contact katika facebook
Soma Zaidi...Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kulinda account yako ya Facebook dhidi ya waharifu wa kimtandao
Soma Zaidi...