Tofauti ya Trojan na virusi

Tofauti ya Trojan na virusi

Posti hii inakwenda kukupa tofauti za trojani na virusi

TOFAUTI YA TROJAN NA VIRUS

Tojan na virus no aina za malware ambozo zinaadhiri kompyuta yako eidha kuharibu mafaili au kuunganisha kompyuta yako na hacker (wezi was kimitandao)

 

Trojan .Trojan ni program za kicompyuta (malicious computer programme) hutumika kuhaki kifaa chako kwa kukuunganisha na hackers. Trojan zinafanyakazi zaidi na ilokusudiwa. Yaani unaweza ukafanya installation ya software kwa ajili ya kufanya jambo Fulani lakini tofauti na kufanya kazi hi yo software hii inakuwa na kazi nyengine usio ifahamu ambayo itaadhiri kompyuta yako eidha kuongeza ads au kuunganisha kompyuta yako na mitandao ya hackers. trojan

 

Virus Hizi,programme nazo zilizoandaliwa kuathiri kompyuta yako kwa mfano kuharibu mafaili au kula window n k. Virus vimeandaliwa ili vimfanye mtumiaji was kompyuta anunue antivirus software. Kwa kifupi virusi ni progam au faili ambazo huweza kuhama kutoka kompyuta moja kwenda nyingine na kuacha athari zake kwenye kompyuta. virus

 

Kama tulivyosema katika post ya hapo juu vyite hivi vinaweza kuifanya kompyuta yako iwe slow na kuathiri utumiaji wako. Sambamba na hill pia virus vinaeeza kuifanya kompyuta yako ikakolaps window mama visipo tibiwa katika muda sahihi.

 

Kuondowa virus I na Trojan unahitajika kuwa na antvirus iliyo active . Pia utahitajika kuiskan kompyuta yako yote yaan full scanning. Kisha ondowa software zote zilikopatikana kuwa zinaathiri kompyuta yako. Kisha ristat kompyuta.

 

 

 

JINSI YA KUIFANYA SIMU YAKO  IWE FASTA.tumesha taja baadhi ya mabo yanayofanya simu yako kuwa

Zoezi la Maswali

Nyuma Endelea


Umeionaje Makala hii.. ?

       
Author: Rajabu Rajabu
Tarehe: 2024-05-10 14:53:23 Topic: Teknolojia Main: Post File: Download PDF Views: 1722

Share On:

Share follows: 0 | Unique share links followed: 0
Sponsored links
👉1 Madrasa kiganjani     👉2 web hosting     👉3 Tafasiri ya Riyadh Swalihina     👉4 Kitau cha Fiqh     👉5 kitabu cha Simulizi     👉6 ai web app    

Post zinazofanana:

Kipi kingine utafanya ukiwa Facebook

Somo hili linakwenda kukueleza Mambo mengne unayoweza kuyafanya ukiwa Facebook

Soma Zaidi...
KIPI KINGINE UTAFANYA UKIWA FACEBOOK: matumizi mengine ya facebook

Facebook ni mtandao wa kwanza wa kijamii (social media) unaotembelewa na watu wengi.

Soma Zaidi...
Kufungua program nyingi kwa wakati mmoja

Posti hii inakwenda kukuelekeza njia za kufungua program nyingi kwa wakati mmoja

Soma Zaidi...
Epuka malware (virus,work)ukiwa mtandaoni

Somo hili linakwenda kukueleza kuhusu njia za kuepuka malware ukiwa mtandaoni

Soma Zaidi...
Muda wa kuchaji simu yako

Posti hii itakwenda kukujuza juu ya kuda mzuri wa kuchaji simu yako

Soma Zaidi...