Chemsha bongo 13

imageimage
23.Manywele
Kijana mmoja alikuwa na nyele ndefu pamoja na ndevu za wastani zilizo nyeusi sana. Kijana huyu alikuwa shevu kwa siku mara 10 mpaka 15. lakini bado alibakiwa kuwa na nyele ndefu na ndevu ndefu. Unadhani ni mtindo gani huwa anatumia?

Jibu
Ni kwa sababu huyu kijana ni kinyozi. Hushevu watu wengine.